Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
- Thread starter
-
- #21
ume wa -compare na vyombo gani vingine vya habari? if you didnt do any comparison then nakubaliana na weweKwa hiyo unachosema ni kwamba kwa vile Clouds FM wana-webcast matangazo yao, hiyo ndiyo sababu kuu inayowafanya wawe gumzo la JF mara kwa mara? Kama hicho ndicho unachosema basi mimi siuoni uhusiano/mwunganisho wowote ule baina ya hivyo vitu viwili labda unafafanulie zaidi.
Ila ni vyema watu wakatambua kuwa katika tasnia ya vyombo vya habari (media industry) Clouds Media Group kwa kweli wanatisha. Niseme tu kwamba, kwa sasa hawana mpinzani na ushahidi upo dhahiri kabisa.
ume wa -compare na vyombo gani vingine vya habari? if you didnt do any comparison then nakubaliana na wewe
unaweza kumshawishi babu yangu anayesikiliza tbc1 kila siku kuwa clouds fm iko juu kuliko tbc1!! ok lakini nisikubishie coz sijui vigezo ulivyotumia na mm hata hivyo naizimia hii redio offcourse bila kumsahau mrembo DIVARadio One, Magic FM, Times FM, na wengineo.....
Mkuu Ivuga be careful sauti peke yake isikuchanganye unaweza kuta dem mwenyewe sio mkali,hebu tafuta pics zake uziweke hapa kwanza!unaweza kumshawishi babu yangu anayesikiliza tbc1 kila siku kuwa clouds fm iko juu kuliko tbc1!! ok lakini nisikubishie coz sijui vigezo ulivyotumia na mm hata hivyo naizimia hii redio offcourse bila kumsahau mrembo DIVA
unaweza kumshawishi babu yangu anayesikiliza tbc1 kila siku kuwa clouds fm iko juu kuliko tbc1!! ok lakini nisikubishie coz sijui vigezo ulivyotumia na mm hata hivyo naizimia hii redio offcourse bila kumsahau mrembo DIVA
We saint unatafuta nini kwa mke wa mtu. Si ameolewa yule?
bora uendelee kumpenda kwa mawazo tu, usijiingize huko kwa pasua kichwa maana she is living a plastic life. yaani imaginery life, mwili upo bongo lkn mawazo yoote ki marekani marekani, ulaya so kuwa makini
I wouldn't describe her as "very portable" for portable collocates with objects and she is not an object. For example, a portable television, radio, or laptop. But she is a person. Therefore, 'petite' would be a more apt description of her. She is a petite girl though she is more on the thick and juicy side.
Hapa NN umenionea tu... you know what i meant... But in fact about her being 'petite' labda
the way she speaks portrays her so, but i can not discribe her as being in that category...
I meant no harm my sister from another mother! Maybe petite is also relative lol....
I know... but mimi moja kwa moja nikiambiwa Petite napata picha mtu ambae anaonekana
so delicate kama moja ya aspect... na niki apply kwake naona haiingii as much as ni relative...
Note that no harm nor ubishi intended....
Delicate as in fragile? To me petite means having a small and thin body - usually used to describe a woman or girl.
See, haya yote yalitakiwa kuwekwa kwenye jukwaa la Clouds FM....
NN nimekusoma kuwa mtetezi mkubwa wa Clouds...una maslahi yoyote au "miafrika ndivyo tulivyo"???
Clouds mimi wamenipatia burudani ambayo hakuna mwingine yoyote Tanzania aliyekuwa anaweza kunipatia enzi hizo. Unakumbuka mambo ya ghorofa ya saba wewe? poolside je? umezisahau zile beach parties za enzi zile?
Au wewe ulikuwa chekechea enzi hizo? Kwa hiyo, kujibu swali lako ni ndiyo. Mimi nimekuwa mdau wa Clouds tokea wanaanza na sipendi kuona wanapakwa matope na waoshwa vinywa. Watu wanatoa ajira kwa Watanzania, wanachangia uchumi wa Tanzania, halafu ng'ombe watu hawaoni kabisa mchango wao. Hii inanikereketa sana. Nitawatetea hadi mwisho pale ninapoona wanastahili utetezi wangu. Daima mpenda haki.
Nadhani wewe na wao mko sawa maana kila mtu ana mtazamo wake.
Wakati kuna watu hapa wanaishutumu CCM kila kikicha, wapo wengine CCM ni kila kitu kwao na huwezi kuwalazimisha kuwa na mtazamo sawa.
Ningeshauri uwe unaleta topic za mazuri ya Clouds ili tuchangie na wale wenye kusema mabaya ya Clouds nao rukhsa. Wanaita Soko Huria = Mawazo Huria
Nawafahamu Clouds kabla hawajawa Clouds! Hilo linakuambia kama nilikuwa chekechea au la!
The good that Clouds Media Group does in the community is self evident. My job here is to put up a spirited defense whenever I see mudslingers sling mud at them. And I am ready and willing to go head to head with anyone till the cows come home.