Nimemzimia blackberry

Angalia usipende wake zetu tutawatoa humu JF ni nzuri ukatumia PM kuliko public kama hivi yaelekea huchelewi kuweka hadharani ukipewa
 
I waz here.
 
mmmh,watu mmezid kutangaza nia. Haya nami natangaza nia kwa lizzy,mamito moyo wangu una chemchem ya mapenz na maji yake ni matam kaa sharubati ya sukari guru!
 
Niambie dearest!Watu wanazimika zimika tu hapa kama vibatari!
Mi mzima dearest hawa wanaozimika zimika si watawafia kabisa lol! washaurini waende kwa Babu kwanza wasizimike ndio waje kwenu,wangekujua wangeomba urafiki wa kalamu hahaha!
 
Mi mzima dearest hawa wanaozimika zimika si watawafia kabisa lol! washaurini waende kwa Babu kwanza wasizimike ndio waje kwenu,wangekujua wangeomba urafiki wa kalamu hahaha!

Tabu tu...labda kama babu wa Loliondo anabadilisha tabia...otherwise hua wa penseli sitaki!
 
Dah! Ngoja nimuulize Michelle mi niingie chumba namba ngapi labda atajitokeza anitajie code yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…