Anatafuta support au public opinion.Kwanini usimtumie PM....mpaka utangazie umma wote???!!..mhhh haya kila la heri............
Blackberry ni dume la mbegu..
Blackberry ni dume la mbegu..
ndio swali nilikuwa najiuliza huyu BB anaijuwa jinsia yake kweli..
Usimkatishe tamaa, atakuzimia wewe shauri yako.
Kwanini usimtumie PM....mpaka utangazie umma wote???!!..mhhh haya kila la heri............
ndio swali nilikuwa najiuliza huyu BB anaijuwa jinsia yake kweli..
Toka apendwe Dena basi wapendaji mmeanza kuibuka kama wagawa vikombe wa bongo, hebu tusaidie kaka hebu tuambie sababu za kumzimia mtu usiyemjua kwa lolote isipokuwa maandishi na avartar, maana hujatoa sababu, toa sababu ili uweze kupata public opinion unayoitarajia. Ningependa kusikia opinion yako kwanza.
Yours faithfully, lukansola
Looking forward to hearing from you soon.
Vipi wewe haujanizimia mimiNdo hapo akutane na babu
Alie staaf mmmhhhh
Lazima kutakuwa kuna kitu kimekufanya umzimie BlackberryHello wana MMU!
sio kawaida yangu kuingia jukwaa hili na kuandika, kupost au kuchangia mada zinazokuwa hapa, huwa napita na kusoma tu...
ukiona leo mpaka nimefikia kuandika thread hapa basi kuna jambo limenikaa rohoni, sio siri wana MMU, kuna member anaitwa Blackberry ingawa sio mwenyeji sana bado ni mgeni hapa JF nimetokea kumzimia sana, japo sijui ana umri gani?, anaishi wapi? na marital status yake ikoje...
Please Blackberry... waiting for your reward response
SASA mtajuaje km naye anataka mwenzxa?
+kujenda deffense kwa yeyote tena mwenye mawazo juu ya blakber