Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

Wakuu habari

Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa matasa mwishowe wanaishia kujaza choo tuu, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.

Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuowa mwanamke tasa mjaza choo matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeowa gumba.

Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga sasa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.
Kama hiyo akili ndo unayo basi kazi ipo
 
Na yeye amestuka hataki kuwa single mother. Kuolewa ataolewa na mtu sahihi na wewe utamuoa atakayekubaliana na matakwa yako.
Kiufupi nyie hampendani
Mkuu me nayeye tunapendana sana ila mbishi hanisikilizi mimi boyfriend wake
 
Wakuu habari

Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa mwanamke asiyezaa, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.

Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuoa mwanamke asiye na uzazi matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeoa mgumba.

Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga sasa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.

Kongole nyingi kwa huyo dada kushtukia kuwa humpendi mapema. kwaio watu wasiozaa hawastahili kupendwa? je wewe ukiwa huwezi kubebesha mimba utengwe? inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom