Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

Mtoa mada utakuwa na mapungufu mengi sana kwenye sekta ya mapenzi!mwanamke atajilengesha tena miezi ya mwanzo tu ya mapenzi kubeba mimba yako bila tabu endapo utakuwa muigizaji mzuri wa mambo kama haya!
1:Jifanye kumshirikisha hata kama unataka kununua taulo lako mwenyewe!mwambie baby kuna taulo hapa nimelipenda linauzwa buku 5 vipi ninunue ama niachane nalo?(atajiona ni mtu muhimu sana kwako)
2:Tafuta japo Elfu 50 mwambie baby hii nitunzie nikikaa nayo nitatumia (hata kama akikutapeli poa tu lkn akilini mwake atajijengea kuwa unamwamini sana)
3:Mkabidhi funguo za ghetto akae nazo siku kadhaa kisha baadae unaenda kuzipora kwa kusingizio kuwa umepoteza za kwako
4:Mtambulishe kwa wajomba feki na mabinamu feki kibao!
Ukitumia mbinu aina hizi kubebewa mimba ni 100%
 
Mdada yuko sahihi.kabisa.
Mpaka unalazimisha mwanamke akuzalie kwanza ni dhahri .umejigundua unaweza kuwa tasa pia.kutembea koteeee na mabinti.hujawahi hata mpa mimba mmoja.
Na bado unawaita.wanawake tasa.
 
Wakuu habari
Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa matasa mwishowe wanaishia kujaza choo tuu, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.

Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuowa mwanamke tasa mjaza choo matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeowa gumba.

Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga Asa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.
Kwani unaoa mimba au unaoa mke?
 
Nani alikudanganya kwanza utie mimba kisha ndiyo uoe? Unajua wanawake wangapi wamedanganywa kuhusu kubeba mimba ili waolewe kisha wakaachwa solemba baada ya kupata mimba na sasa ni single mothers!? Acha ujinga JIONGEZE!
Wakuu habari
Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa matasa mwishowe wanaishia kujaza choo tuu, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.

Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuowa mwanamke tasa mjaza choo matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeowa gumba.

Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga Asa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.
 
Kundi la wanaume linazidi kupungua tu. Yan mwanaume mzima unatumia kauli ya "wajaza choo" na dada zako wasemeje?
Yan ww bado ujui kitu chochote kuhusu maswala ya uzazi kama ungekuwa unajua ungemchua ukapime hospital ili ujue kama ni tasa ama la.
Na Unahisi wanawake tu ndio matasa? Vip kama ww ndio ukiwa na tatzo na yeye akukimbie kwa kumjazia choo(kama unavyo sema) ama?
Unataka kumpima kwa kigezo cha kubeba mimba ili ujue kama ni mzima je unajua kuwa ata group za damu nazo zinaweza changia watu kutokuweza kupeana ujauzito (mimba zikaishi kuharibika kabla ya mda wake)?

Ebu jaribu kuficha ujinga bas. Huyo mwanamke wako ana akili sana kukuzidi
Ki ukwel jamaa akil yake anaijua mwenyew
 
Mtoa mada utakuwa na mapungufu mengi sana kwenye sekta ya mapenzi!mwanamke atajilengesha tena miezi ya mwanzo tu ya mapenzi kubeba mimba yako bila tabu endapo utakuwa muigizaji mzuri wa mambo kama haya!
1:Jifanye kumshirikisha hata kama unataka kununua taulo lako mwenyewe!mwambie baby kuna taulo hapa nimelipenda linauzwa buku 5 vipi ninunue ama niachane nalo?(atajiona ni mtu muhimu sana kwako)
2:Tafuta japo Elfu 50 mwambie baby hii nitunzie nikikaa nayo nitatumia (hata kama akikutapeli poa tu lkn akilini mwake atajijengea kuwa unamwamini sana)
3:Mkabidhi funguo za ghetto akae nazo siku kadhaa kisha baadae unaenda kuzipora kwa kusingizio kuwa umepoteza za kwako
4:Mtambulishe kwa wajomba feki na mabinamu feki kibao!
Ukitumia mbinu aina hizi kubebewa mimba ni 100%
Sasa naona Umeanza kuvujisha siri
 
Nimejifunza kitu
 
Wakuu habari

Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa matasa mwishowe wanaishia kujaza choo tuu, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.

Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuowa mwanamke tasa mjaza choo matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeowa gumba.

Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga sasa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.

Bora ata alivyokataa
 
Mtoa mada utakuwa na mapungufu mengi sana kwenye sekta ya mapenzi!mwanamke atajilengesha tena miezi ya mwanzo tu ya mapenzi kubeba mimba yako bila tabu endapo utakuwa muigizaji mzuri wa mambo kama haya!
1:Jifanye kumshirikisha hata kama unataka kununua taulo lako mwenyewe!mwambie baby kuna taulo hapa nimelipenda linauzwa buku 5 vipi ninunue ama niachane nalo?(atajiona ni mtu muhimu sana kwako)
2:Tafuta japo Elfu 50 mwambie baby hii nitunzie nikikaa nayo nitatumia (hata kama akikutapeli poa tu lkn akilini mwake atajijengea kuwa unamwamini sana)
3:Mkabidhi funguo za ghetto akae nazo siku kadhaa kisha baadae unaenda kuzipora kwa kusingizio kuwa umepoteza za kwako
4:Mtambulishe kwa wajomba feki na mabinamu feki kibao!
Ukitumia mbinu aina hizi kubebewa mimba ni 100%
Mkuu agiza maji makubwa ya dasani nakuja kulipa
Mimi kama mtoa mada naomba iishie hapa
 
Back
Top Bottom