Hiyo pete ya ndoa kama vipi kaiyeyushe kwa Nchimbi pale Magomeni Mapipa upate Kufu la haja maana zinakuwaga na zaidi ya gramu 5! ( Acha upuuzi wako rudisha kibana andiko cha watu, zinakuwaga na gundu hizo! Utajitia nuksi bure)
Mi kila siku nasemaga In God we trust but in Our Flithy Men We Investigate Further!!!!!!!! Bila kuwa KGB unaweza kuchanwa viwembe vya uso.
Mi naona uachanane nae tu, coz he is pathetic, not worth your efforts. Ni fungu la kukosa tu huyo! Kuna watu hawana hadhi ya kuwalipa kisasa ni upotevu wa nguvu na maarifa tu!