Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

nimeshangaa sn kwakweli, sasa hiyo pete itakusaidia nn wakat ushajua ni mume wa mtu? Kwa taarifa tu huyo hana mpango na ww kabisaa, anakupigia cm akupoze na ukiwa mzembe utakubali uongo wake ataendelea kukutumia. Tuma mtu arudishe pete yake vunja kabisa huo uhucano.
 
So unaweza kuiba mume wa mtu?

Come on!!!!!!!!! Dont be DRAMATIC!!!!!!!!! Zee zima la 24yrs and above linaibiwaje?????????

IT ALWAYS TAKES 2 TO TANGO!!!!!!!!!!!!!111

The question should be Unaweza Kujinafasi na Mume wa Mtu? And the answer is No! I AMNOT A FAN OF KULA MAKOMBO YA MTU!!!!!!!!!!

I like them Young and Restless! They cant even recognise the rate their wallet is depreciating! And even if they do notice they dont care!


But with Married dudes Too Much Responsibilities on their Sorry A.ss!!!!!!!!!! Not good for my taste!
 
Hahaahaah kijana umebadilíka àu nini?!
sijabadilika bwana...mie naona nyie wanawake u dont feel sorry for urselves. wewe unakaa na jamaa miaka nenda rudi unagegedwa tuu hujihurumii kuwa i need a man that will appreciate and see me as a wife and not a gf which in reality is just a euphemisim for sexmate. sasa hiyo elimu mnayopata mavyuoni haina faida kama iliktakiwa liberate u but actually bado mnajishusha hadhi. wake up and be smart
Nashukuru kwa ushaur wako....ntajaribu kujichunguza pia.
 
Hahaahaah kijana umebadilíka àu nini?!
Come on!!!!!!!!! Dont be DRAMATIC!!!!!!!!! Zee zima la 24yrs and above linaibiwaje?????????IT ALWAYS TAKES 2 TO TANGO!!!!!!!!!!!!!111The question should be Unaweza Kujinafasi na Mume wa Mtu? And the answer is No! I AMNOT A FAN OF KULA MAKOMBO YA MTU!!!!!!!!!!I like them Young and Restless! They cant even recognise the rate their wallet is depreciating! And even if they do notice they dont care!But with Married dudes Too Much Responsibilities on their Sorry A.ss!!!!!!!!!! Not good for my taste!
Ha ha ha ha....
 
Kwa tulivyo wanaume, jamaa atakuja na lugha lainiiiii....na atakuliwaza utautua mzigo.
Tatizo hapo ni kwamba waume za watu huwa ni wakomavu sana kwenye malavidavi na ndio maana dadaz huwawia ugumu kuwaacha shauri ya ukunwaji wa nazi.
Mume wa mtu SUMU binti, ohooooo...utakatisha maisha yako kirahiiiiisiiiiii...
 
Kwa tulivyo wanaume, jamaa atakuja na lugha lainiiiii....na atakuliwaza utautua mzigo.
Tatizo hapo ni kwamba waume za watu huwa ni wakomavu sana kwenye malavidavi na ndio maana dadaz huwawia ugumu kuwaacha shauri ya ukunwaji wa nazi.
Mume wa mtu SUMU binti, ohooooo...utakatisha maisha yako kirahiiiiisiiiiii...

Nitabadilika....na zaid ntazdisha umakin.
 
Si uliamua kukimbilia gari na mafanikio ya mtu hamtaki kuanza chini na vijana wa rika lenu,kula matunda yenyewe ndio hayo,
hebu angalia yule kijana aliyekuwa anakufatilia halafu ukampiga chini kisa hana kitu ona leo maisha yake yanavyoenda vizuri.

aisee ulikuwa wapi ck zote kuwaambia madada hivi! Jaman mabinti kuwen wavumilivu, bnafc yupo alowah kutaman vizee kisa chapa yao, vikamlamba na vimemtelekeza! Namuonea huruma maana saiz anapewa udaku jamaa kang'aa kidogo, cpat picha ck akinikuta na hii style ya kutembelea ------ atakavyojilaumu.
 
huna haja kubaki na pete.......toa maamuzi magumu achana naye utaumia kwa muda kidonda kitapona
 
huna haja kubaki na pete.......toa maamuzi magumu achana naye utaumia kwa muda kidonda kitapona
Nashukuru mwaya......ntamwambia aje achukue pete yke.Maana maamuz yngu niliyopanga yalikuwa mabaya kqwake.
 
mrudishie pete yake na mtimue! Mijanaume kwa kuvua pete na kudanganya kuwa ipo single ndo zao
Yan ww acha tu....alafu hata wkt naichikua bdo anakataa kuwa huyo mwanamke c mkewe.Mshamba sana huyu jamaa,cna hamu nae.
 
Back
Top Bottom