Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Ndo niliDecide hvyo

Pole sana miss strong

Sasa vua utu wa kale vaa utu mpya. Hiyo pete mrudishie mwenyewe na umwambie mini na wewe baaas chapter imefungwa. Kisha futa namba yake...

Thenm rudi fanya reflection endelea na maisha yako kama kawaida. Jamaa angekuwa honest angekwanbia kuwa ameoa. Alishakosea tangu mwanzo. Tupa kule
 
Last edited by a moderator:
bi dada ushaujuwa ukweli akili kichwani kwako km una akili za kuku unafukuzu baada ya unasaha pole
 
Dunia ya leo ukitaka kufa upesi penda wake/Waume za watu na Dhulma. huo ni usia wa babu. Wewe usiwe mvivu wa kufikiri huyo jamaa anaonekana alikutamani akutumie keshamaliza hana tyme nawewe. kwani? wanaume wengine hamna? Rudisha pete ya watu uwe na amani isije kutia gundu. kama unataka pete mimi ntakununulia kwa nchimbi jewellers. ok?
 
Pole sana miss strongSasa vua utu wa kale vaa utu mpya. Hiyo pete mrudishie mwenyewe na umwambie mini na wewe baaas chapter imefungwa. Kisha futa namba yake...Thenm rudi fanya reflection endelea na maisha yako kama kawaida. Jamaa angekuwa honest angekwanbia kuwa ameoa. Alishakosea tangu mwanzo. Tupa kule
Yaaaaan acha tu Kaizer.......nashukuru ss hv naanza kupata nguvu kwa ajil ya ushaur wa wana JF!
 
Last edited by a moderator:
hivi wanaume wameisha? au lazima waume za watu. tafuta wako km huwaoni nipm nikuonyeshe acheni tamaa zitawaua
 
Kuwa na tabia ya kusoma thread kwa umakini.



Naomba msaada ni umeolewa ukamvua ama just mpenz mmeamua kuvalishana pete?nakama ujaolewa unalalaje kwa mwanaume bila kuolewa uoni ulijirahisisha sana mapema ndioo maana akakudharau;;kwanza hana adabu anazinije nyumban kwake na ikitolkea mkaoana mtazini gest?;;3;usikate tamaaa tafya kanda ya wimbo wa usikate ta;maa wa martha utakkusaidia
 
Rudisha pete ya watu.....uheshimu ndoa ya watu hata kama yy haiheshimu........mume wa mtu sumu aisee usijebleedishwa mwaka mzima upoteze dira.......achana nae huyo
 
Rudisha pete ya watu.....uheshimu ndoa ya watu hata kama yy haiheshimu........mume wa mtu sumu aisee usijebleedishwa mwaka mzima upoteze dira.......achana nae huyo

Mtoto mpole....mm naheshimu sn na ndio maana nimeamua kurudisha ila kilichokuwa moyon mwangu kabla cjaandika na wkt naandika thread hii ni mambo meng ikiwepo kutorudisha pete.
 
hapa anataka aimpelekee home, ili atunguliwe cha mwisho mwisho.
Sipo hvyo km unavyodhania!Ningeweza chukua maamuz mwenyewe lkn nkaona vyema nishare na nyny il nipate mawazo ya weng then ntoke na suluhisho la tatizo.Ungenishaur ili unisaidie lkn kwa ulichosema bdo hujanisaidia.
 
kama pete ni ya bei fanya ukaiuze!
ila huyo ni mume wa mtu kabisaaa!
achana nae bi dada,usijekufa ka kuku bure
kwa uongo wa huyo jamaa!

 
Back
Top Bottom