Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Jf kweli amfai nilijui atakuja single mmoja kusema dada tuchat kule natafta mliogadhabiwa na mapenzi lama nyie tuoane najua mtakuwa na heshma kwenye ndoa woite mmh haya binti napta tu
 
Habar zenu wanaJF polen na majukumu ya kikaz.....mm ni bint ambae nilikuwa na mahusiano yakimapenz na kaka mmoja ambyi yalidumu kwa miaka 3 ss lkn ktk kipnd cha mahusiano siku moja ilitokea kwamba mwanaume anataka tuonane lkn gesti jambo ambalo lilinishangaza sana na wala c kawaida kutokea kwa maana walikuwa wamengashiwa nyumba maeneo ya tegeta na mwajiri wke.Nikahoj hlo swala nakujibiwa kuwa ana wagen toka kwao iringa ambae ni mtu na mkewe ndo amewaachia chumba,nilielewa somo nakuendelea na mambo yetu.Alinirudisha mpk nyumban baada yakumaliza kaz yetu kwa siku hyo.....nilipofika nyumban baada yakupumzika nikampgia cm lkn cha ajabu ikapokelewa na mwanamke nakuanza kuniporomoshea matuc,nilishikwa na butwaa nicjue nn chakufanya lkn nikaona nitulie maana nilishikwa na jazba sana kilichoniuma ni kutukanwa kupitia cm ya niliyejua ni mtu wngu.....,nikanyamaza lkn ckusita kuuliza c unajua kupenda tena,akanipa majibu lkn akil ikawa kichwan mwangu.Baada ys muda nikaja kuckia kuwa huyo jamaa ana mke wa ndoa kbs huko iringa kwao na nilipojaribu kumuuliza akakataa katukatu.Mapnz yngu kwake yalipungua lkn kilichokuwa kinanifanya kuendelea nae nikumjua hasa aliyenutukana....tukiwa wote huyo mwanamke alipga cm kwa huyo jamaa nkaipokea nakuanza kumwambia kuwa huyo ni mtu wngu mbele ya mwanaume wke lkn ikazua mtafaruku mkubwa sana,cha ajabu mwanaume nikamkuta na pete ya ndoa nlipomuuliza akasema inamsaidia asitongozwe na watu kwa kwel nilizid kupata hasira nikamvua ile pete na ucku huo nikampgia huyo mwanamke nakumuomba msamaha maana nmekuwa na mtu wke bila kujua.Leo mchana mwanaume ananipgia nakuendelea kukataa naomba mnisaidie mawazo kwa kwel nmekwazika sana.Na pete ya ndoa tena Gold nnayo hapa na ctak hata kumuona.

kwa kua umegundua kwamba jamaa ana mke, na alikudanganya siku zote hizo kwamba hajaoa basi ukiustaarabu kabisa mkalishe chini na kuagana nae kwa heshima zote. pia mrudishie pete yake. usijali utapata mwanamume wa ukweli..utasahau masahibu yote hayo!
 
Eti ss hv ananipgia cm....yan nna hasira jmn.Mungu nisaidie!
 
hivi wanawake naomba niwaulize kitu...inakuwaje unakaa na jamaa miaka zaidi ya miwili hujaolewa? hamjionei huruma kuwa mnagegedwa tuu ama kwa kuwa papauchi haibadulowi!? ebu nanyi jioneeni hiruma bana.
 
Ukiwa kwenye mapenzi nadhani asilimia 98 unakuwa kipofu na asilimia 100 kutaki kusikia ukweli au kuamini ukweli. Dada unamkuta mtu mpaka na pete ya NDOA bado upo tuu! mkewe anakupigia bado upo tuu khaaaaaaaaa! kweli PENZI KITOVU CHA UZEMBE
 
Jf kweli amfai nilijui atakuja single mmoja kusema dada tuchat kule natafta mliogadhabiwa na mapenzi lama nyie tuoane najua mtakuwa na heshma kwenye ndoa woite mmh haya binti napta tu

Mapenz ndugu yngu....unafikir unapenda kila mtu aliye single?Yahitaj muda pia kuchagua utakacho
 
Si uliamua kukimbilia gari na mafanikio ya mtu hamtaki kuanza chini na vijana wa rika lenu,kula matunda yenyewe ndio hayo,
hebu angalia yule kijana aliyekuwa anakufatilia halafu ukampiga chini kisa hana kitu ona leo maisha yake yanavyoenda vizuri.

njoo nikupe fanta hapa
 
Kwanza labda ufahamu, ukiona unakumbwa na majanga mara kwa mara, tafakari tatizo linakuwa kwako wewe mwenyewe. Kutakuwa na tatizo kwenye maamuzi yako. Nb mambo haya fanya kwa uangalifu.
1. Maongezi
2. Maamuzi
3. Mapenzi
 
Na wewe tangu upigwe chini umekuwa mkali kama nini lol!

Si uliamua kukimbilia gari na mafanikio ya mtu hamtaki kuanza chini na vijana wa rika lenu,kula matunda yenyewe ndio hayo,
hebu angalia yule kijana aliyekuwa anakufatilia halafu ukampiga chini kisa hana kitu ona leo maisha yake yanavyoenda vizuri.
 
Pole sana! Rudisha pete yake maana haitasaidia kuponya maumivu yako!

Achana nae uendelee na maisha yako!
 
Hahaahaah kijana umebadilíka àu nini?!

hivi wanawake naomba niwaulize kitu...inakuwaje unakaa na jamaa miaka zaidi ya miwili hujaolewa? hamjionei huruma kuwa mnagegedwa tuu ama kwa kuwa papauchi haibadulowi!? ebu nanyi jioneeni hiruma bana.
 
Hahaahaah kijana umebadilíka àu nini?!

sijabadilika bwana...mie naona nyie wanawake u dont feel sorry for urselves. wewe unakaa na jamaa miaka nenda rudi unagegedwa tuu hujihurumii kuwa i need a man that will appreciate and see me as a wife and not a gf which in reality is just a euphemisim for sexmate. sasa hiyo elimu mnayopata mavyuoni haina faida kama iliktakiwa liberate u but actually bado mnajishusha hadhi. wake up and be smart
 
How old are you? Kwanza mrudishie mwenyewe pete yake, uendelee na masomo.maana wazazi wako wakikusikia unachanganya masomo na mapenzi sijui itakuwaje.mwenzio ana familia huyo, anakutumia tu kwa mapozeo.akija mzaa chema, ndiyo analala kwenye nyumba.wewe thamani yako ni gesti ambako kila asiye na thamani huwa anapelekwa.Sijui mpaka hapa unahitaji tena ushauri.
Habar zenu wanaJF polen na majukumu ya kikaz.....mm ni bint ambae nilikuwa na mahusiano yakimapenz na kaka mmoja ambyi yalidumu kwa miaka 3 ss lkn ktk kipnd cha mahusiano siku moja ilitokea kwamba mwanaume anataka tuonane lkn gesti jambo ambalo lilinishangaza sana na wala c kawaida kutokea kwa maana walikuwa wamengashiwa nyumba maeneo ya tegeta na mwajiri wke.Nikahoj hlo swala nakujibiwa kuwa ana wagen toka kwao iringa ambae ni mtu na mkewe ndo amewaachia chumba,nilielewa somo nakuendelea na mambo yetu.Alinirudisha mpk nyumban baada yakumaliza kaz yetu kwa siku hyo.....nilipofika nyumban baada yakupumzika nikampgia cm lkn cha ajabu ikapokelewa na mwanamke nakuanza kuniporomoshea matuc,nilishikwa na butwaa nicjue nn chakufanya lkn nikaona nitulie maana nilishikwa na jazba sana kilichoniuma ni kutukanwa kupitia cm ya niliyejua ni mtu wngu.....,nikanyamaza lkn ckusita kuuliza c unajua kupenda tena,akanipa majibu lkn akil ikawa kichwan mwangu.Baada ys muda nikaja kuckia kuwa huyo jamaa ana mke wa ndoa kbs huko iringa kwao na nilipojaribu kumuuliza akakataa katukatu.Mapnz yngu kwake yalipungua lkn kilichokuwa kinanifanya kuendelea nae nikumjua hasa aliyenutukana....tukiwa wote huyo mwanamke alipga cm kwa huyo jamaa nkaipokea nakuanza kumwambia kuwa huyo ni mtu wngu mbele ya mwanaume wke lkn ikazua mtafaruku mkubwa sana,cha ajabu mwanaume nikamkuta na pete ya ndoa nlipomuuliza akasema inamsaidia asitongozwe na watu kwa kwel nilizid kupata hasira nikamvua ile pete na ucku huo nikampgia huyo mwanamke nakumuomba msamaha maana nmekuwa na mtu wke bila kujua.Leo mchana mwanaume ananipgia nakuendelea kukataa naomba mnisaidie mawazo kwa kwel nmekwazika sana.Na pete ya ndoa tena Gold nnayo hapa na ctak hata kumuona.
 
Ati pete inamsaidia asitongozwe! Hiyo nanihii yake inapaswa kufungwa mkanda wa mbwa ama collar kabisa!
 
Back
Top Bottom