Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

Mimi cna muda wakumuharibia ila namkatia RB endapo ataniletea fujo

Sidhani kam kuendeleza malumbano nae ndiyo solution!! kifupi mpatie PETE yake na huelewe kuwa ni mume wa mtu.

SAMEHE YOTE and u have to refresh ur mind

KATA MAWASILIANO.

MUOMBE MOLA AKUPE WAKO NAYE UMUWEKE.

PIA CHUNGUZA TABIA NA MWENENDO

USIJIINGIZE TENA KATIKA MAHUSIANO yaani kufanya bila ya ndoa

NB: tabia za kufanya bila ndoa ni hatari
 
Yeye ana miaka mingapi nawewe una miaka mingapi?[/QUOYy azid 35 lakn hapungui 33.......mm sizid 25 lakn sipungui 23!

binti mbichi kabisa wewee. ! Sasa jitu la miaka 33, linatoka iringa, ulifikiri halijaoa? Ulidanganywa ukakubali? Angekuwa mtu wa arusha au klm kidogo ingekuwa sawa! Tuwasiliane basi ili na si tuanze upya, mi ni kijana mwenzio ila sina kazi.
 
mhhh hao ndio wanaume wa bongo darisalamaa
 
Sitak malumbano kbs lkn naona amwenzan anataka ligi....km pete alinipa mwenyewe ckumshikia mtutu lkn kitendo cha kunitukania mama yngu ambye ht hamjui alafu kusema atatupga ndo ameziamsha hasira zngu.
 
..asa ushauri gani,mbona ushafanya maamuzi yako ? inaonyesha hujijui mpaka sasa
 
Muuzie hiyo pete yake kwa gharama utakayotaka wewe then
take your time my baby, wapo wengi hao.
 
Sitak malumbano kbs lkn naona amwenzan anataka ligi....km pete alinipa mwenyewe ckumshikia mtutu lkn kitendo cha kunitukania mama yngu ambye ht hamjui alafu kusema atatupga ndo ameziamsha hasira zngu.

Na wewe acha ujinga unaona makosa ya mwenzako tu.
Mbona huyo uliyemchekulia mume hajakushtaki. Rudisha pete ya watu bana
 
Tafuta wako aina haja ya kutafuta ushauri kwa sasa kila kitu kipo wazi, na kama haujui kusoma hata picha unashindwa kutambua.
 
Weee miss strong, omba mungu akuonyeshe mume wa kweli, acha kufanya ngono na waume za watu, hukugundua mwanzoni kuwa kaoa, sasa acha wanaume ndio walivyo hivyo. Tafuta kijana wa size yako, kapime ngoma, muoane. Acha ngono na wazee.
 
Thanks fo yo ushaur......!Mungu akubarik
 
Si uliamua kukimbilia gari na mafanikio ya mtu hamtaki kuanza chini na vijana wa rika lenu,kula matunda yenyewe ndio hayo,
hebu angalia yule kijana aliyekuwa anakufatilia halafu ukampiga chini kisa hana kitu ona leo maisha yake yanavyoenda vizuri.

!!!!!!!!!!
Maisha yana mitihani yake kama haijakukuta mshukuru Mungu.
 
!!!!!!!!!!
Maisha yana mitihani yake kama haijakukuta mshukuru Mungu.

Yah...ni nyepec kuongelea likiwa kwa mtu lkn somtms likimkuta mtu ndo anapoona kuwa kumbe ni balaaa.
 
I hope usharudisha pete ya watu! Ila bei ya Gold inazidi kuporomoka wajameni, Barrick Gold Mining sijui wana hali gani kwa sasa.
 
Back
Top Bottom