Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,709
- 171,961
Huyo ndio wa mwisho brother stoo imebaki vumbi tu....Hivi wanawake wenzako kama wewe mumebakia wangapi huko store?
Huyo ndio wa mwisho brother stoo imebaki vumbi tu....Hivi wanawake wenzako kama wewe mumebakia wangapi huko store?
Kalpana ni dadangu tumefanana tabiaUna mdogo wako wa kike hajaolewa mwenye tabia kama zako??
AmenWanaume tusamehewe
Gharama za fundi zote nalipaMifuko kumi ya cement [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji3]
Joshy endi me please, i em like thisHongera sana dada. Naomba nikutumie zawadi kwa sababu umeonesha ukomavu wa hali ya juu. Usingekuwa umeolewa I could find you.
NB: Tafadhali naomba unijulishe namna ya kukupa zawadi yako dada.
Nina uhakika asilimia 200 wewe ni mangi yaani mchaga uongo uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222] is this lady Mother Theresa, Our Lady of Fatimah or Rita wa Kashia?
Praying for whoom?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mahfwax. Somebody is chewing somebodyz pussy and i gotta pray for that shit? Hahahahahaha oover my blaaackkk assssy... like wtf am i reading?
Heading to bulldoza mwampoo to step annointed oil? Lemme shake my bam bam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Sister Mary Antony angeninasa kibao ingekua miye. Nishinde njaa nafunga kwaajili ya mtu anakojoa kwa raha hukoo[emoji23][emoji23][emoji23] kojoo pwaah la rahaaaaa mimi nimekesha na mawaridi ya sala nimeshinda njaa na nashinda kila semina sijui kwa kina ireene mbowe sijui wapi kumuombea mzinzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Barikiwa saana sana sanaaa.
Hahaha ndioo. Kwasababu tu wana vyeti. I cannot feel comfortable sehem najua sipendwi and am not recognised. I quit. Napaswa kutambua ya kwamba mimi ni wa thamani sana kabla ya mtu mwingineyo yeyote hajaniambia hilo.Too bad kuna single mothers wengi sana wa kwenye ndoa siku hizi; wamebaki tu kuitwa Mrs fulani ila hali tete.
Marufuku kuendekeza ujinga dingiiNina uhakika asilimia 200 wewe ni mangi yaani mchaga uongo uongo
tulia basi lazima mmoja awe mnyongeMadamme, si unataka ushauri? Ama unataka upewe comforting advice? Hapana. Toka kwenye hiyo comforting zone. Next time utatuletea uzi mwingine hapa wa vilio.
Kanuni yangu ni ile ile.
Akichepuka mapenzi yameisha. Na kumwacha wala simwachi ila ni zamu yangu na mimi kutafuta kakijana kawe kananiponza machungu. Wote tuna haki ya kubadilisha ladha.
Haha Good man nipo hapa niombee nasema ukweriiYaan sitokaa nirudie huu ujinga. Shetani amekua akisingiziwa daily wakati mtu anafanya kwa tamaa zake. Siendekezi ujinga huu hata siku moja. Wanafanyaga kwa kudhamiria kabisa. Sitaki ujinga... i will pray just when u are a good man
Mwenzako kasema ana watoto. So anaangalia na future ya wanae.Halitulii likiamka ni moja kwa moja.
sio suala la uzinzi ni suala la kupata mnyonge wakoHuu uzi unavyopewa sapoti na wanaume dah inasikitisha....inaonesha jamii ya wanaume tulionao [emoji45]! Wazinzi!
Kwanini wachaga huwa mnashangaa hivi?woooi.
Daah ila mabinti wa kichaga aisee..!! Unajua hadi bettingMburaaa!!
ukisikia mwanamke anasema eti inamucha tuu kuna mengi ''one girl told me that women don't share good dick''Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.
He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.
Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.
Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?
Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Duuuh 😲😲🤣🤣Kanuni yangu ni ile ile.
Akichepuka mapenzi yameisha. Na kumwacha wala simwachi ila ni zamu yangu na mimi kutafuta kakijana kawe kananiponza machungu. Wote tuna haki ya kubadilisha ladha.
Hiyo option ya kufuta number inaeza isilete matokeo chanya, wengine hukariri number na kuziweka kichwani,pia lazma tu atamtafta kwa number nyingn then akishaprove kua mchepuko wake amekula block anaeza tafta simu mpya na number mpya usioijua wewe wakaendelea kuwasiliana.1. Hiyo namba itakula block kimya kimya then convo zitafutwa
2. Sitonyamaza, nitamwambia ajue kama nimejua madudu yake ili next time hata kama atarudia basi atakuwa makini. Wewe ni mbaya kujua sindano inayokuchoma bila ganzi daily na huko nje kuna sehemu inatoa huduma [emoji23]
3. Huyu mke ana uwema gani? Kufumbia macho matatizo? Huu uzi umejaa wanaume wazinzi ndiyo maana mnam'support mtoa mada.