Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Acha kukwepa

umenikazania sana jamani kwan me peke yangu ndio nimeweka avatar ya hijjab humu??? Tupo wengi sana na nina hakika sio mimi,
Acha kukwepa

umenikazania sana jamani kwan me peke yangu ndio nimeweka avatar ya hijjab humu??? Tupo wengi sana na nina hakika sio mimi,We jikute huelewi nn Mapenzi.Ha ha ha ha hata sifanyi mzaha niko serious kabisa, na haiwezekani
dah umeniangusha sikutegemeaHaiwezekani jamani![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bahati mbaya hua hana haya mamboAnamanisha huenda ni mumeo anakuchora tu
Kukuangusha aje??dah umeniangusha sikutegemea
Alafu leo ukichelewa kurudi sikufungulii mlango, utalala ulikokuwaLabda ww ndo huoniiiii
Hiv hapo unapo kaa kuna wazuri kama wwumenikazania sana jamani kwan me peke yangu ndio nimeweka avatar ya hijjab humu??? Tupo wengi sana na nina hakika sio mimi,
si hutaki kumpokea, mpokee halafu tumsikie atasemajeKukuangusha aje??
Hiv hapo unapo kaa kuna wazuri kama ww
haya nayo yametoka wapi?? Wapo wazuri wengi tuUkimaanisha nini??
Mimi siko single nina mtu na siwezi kumpokea kivyovyote vile sababu nishampokea niloyenaye ananitoshasi hutaki kumpokea, mpokee halafu tumsikie atasemaje
![]()
haya nayo yametoka wapi?? Wapo wazuri wengi tu

hebu fanya kuniangaliziaHuyo dogo aliyekukazania anakumendea usishangae akakwambia njoo pm ndo zake hzo namjua![]()
haya nayo yametoka wapi?? Wapo wazuri wengi tu
Haya ndo yale majibu ya jamaa aliyokuwa anapewa MLIMANI CITYMimi siko single nina mtu na siwezi kumpokea kivyovyote vile sababu nishampokea niloyenaye ananitosha
Mapenzi uchiz, utamfanya kaka wa watu atembee uchi Kisa wwOh jamani![]()
![]()
Kwanza niseme tu sio mimi ninayesemewa hapa1. Anaweza kuwa ni mtu ambaye mnafahamiana vizuri kwa ID yake ya nyuma akafanya kukujaribu;
2. Anaweza akawa ni mtu ambaye ana mtu humu na ID hiyo inajulikana kwamba ana mtu, so anafungua mpya ili aitumie kwa kazi hiyo;
3. Anaweza kuwa ni mchumba/boyfriend wako ambaye mapenzi yake na yako yameanzia JF, so anafungua ID nyingine kutaka kujihakikishia kwamba hutongozeki na wana JF wengine kama yeye alivyokupata, hii inataka kufanana na ya 1 juu
n.k
Si useme tu unamtaka au nmwite ivuga akutongozeehebu fanya kuniangalizia

Ha ha ha asante kwa kunialert! Na hata sikua nachukulia kama anaweza kua seriousHuyo dogo aliyekukazania anakumendea usishangae akakwambia njoo pm ndo zake hzo namjua