Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
sio dawa tu na kinalipa
sio dawa tu na kinalipa
sasa siulisema mapenzi nimajani mkuu
msikilize kijana shida yke
nilimjibu yule anayemwambia umeanza mapenzi sjui nn sikumaanisha hiviUtafanya ajinyonge ujue, alafu Upate kesiOoh siwezi, yani siwezi kabisa atapata tu wa kuendana naye awe mvumilivu kweli kweli
Utafanya ajinyonge ujue, alafu Upate kesi









ajinyonge kisa mimi???? Haiwezekanimkaribishe basi sawa
Kwanani sasa?Unajipigia debe
Si unaanza kumtoa kwny reli aliyependwa eti kaolewaKwanani sasa?
Si ndio hapoKwan huyo tabasam linaonekana?
jamani mapenzi ni kama maua huota popote
We chukulia Masikhara, utapata kesi alafu ss atufichi tunasema ww ndio ulisababisha.! Shauri yakoajinyonge kisa mimi???? Haiwezekani
Huyu kama hamzungumzii emmyta sijuiMimi sidhani kama nasemewa mm hapa ameona wapi hilo tabasam avatar yangu haioneshi kama natabasam
Ukimaanisha nini??Sawa, nakumbuka kusoma mahali kabla sijaiunga na JF, kuna jamaa aliandika ukiona unatongozwa na ID mpya chukua tahadhari kali sana.
Ha ha ha ha hata sifanyi mzaha niko serious kabisa, na haiwezekaniWe chukulia Masikhara, utapata kesi alafu ss atufichi tunasema ww ndio ulisababisha.! Shauri yako
InawezekanaHuyu kama hamzungumzii emmyta sijui
Acha kukwepaSi ndio hapo
Labda ww ndo huoniiiiiHuoni ama usha fanywa kitu mbaya tayari
Anamanisha huenda ni mumeo anakuchora tuUkimaanisha nini??