Nimemuelewa muha ila anajaza ndugu kwake bila kujali uwezo

Mimi nimeoa Muha yuko vizuri sana! Ana jamaa zake lakini hawaji hapa mara kwa mara, inaweza kupita hata miezi na wakija ni wa kuondoka siku hiyo!
Kama sikosei hizo tabia wanazo Wasambaa, Wajaluo na Wagogo!
Duh hadi wasambaaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom