Nimemuachia bill mchunaji

Wajinga washazoea wanafunzi wa sekondari, sie watu wazima huwa tunahakikisha mfuko unasoma ukizingua sina habare naendelea kula raha.

umeona eeh kihela chenyewe ht tad hakitoshi ila full kulalamika
 
speak out bhn usiseme ni mademu wa changombe sema demu wako ndio kakufanyia hivy anymous hawez fany hivy
 
Hahhaha nmechekaje umenikumbusha mashostito wangu wa dom walivyo shushuliwa kwa kuagiza mikuku na bi pombe ya hatariiii maeneo ya double H....huhuuu..jamii forum never boring!!!!
 
Kwikwikwikwiwi napata picha walivyoshtuka kwamba umesepa lol!!!
 

Wewe nawe bill ya elfu 29 ndo unatoka nduki.je ingekuwa 290,000 ingekuaje? Hapa umejiaibisha
 
Hadi nimeona aibu Mwanaume unakimbia bill 29000 kweli???????
jamani hapo ndo kwanza tu walikuwa wameanza kwa hiyo kama jamaa asingesepa yangekuwa mengine,yaani hiyo ilikuwa ile wanayoita starter.haaaa!starter kuku mzima!!!
 

dah mkuu una roho mbaya.mdada keshajua ndo sherehe za mwaka mpya zimeanza.mialiko kibao afu we nae unaachia nyoya.dah.......
cc wadada wa chang'ombe.
 
Kwikwikwikwiwi napata picha walivyoshtuka kwamba umesepa lol!!!

Watakuwa wameagiza vya kutosha balaa. Tena wakihimizana wewe kula, kunywa uwezavyo hapa pesa ipo. Teh teh teh.........lazima walibanwa na kubwa na ndogo kwa mpigo...... Hahaha haya maisha sio ya kukomoana.
 
Wenyewe huita 'buzi limekata kamba' teh teh teh teh.

Utapiga Sana nyeto kwa staili hii kijana.

Hahahahahaha..... Buzi limekata kamba na kusepa.... hii balaa sasa......
 
Kwani unapomwalika mpenzi wako kuna limitation? Mi nadhani unakuwa tayari kwa lolote. Vinginevyo ungemua-alert mapema kwa kumpa conditions ikiwemo ya kutokuja na rafiki yake, aina ya kinywaji, kiasi cha kinywaji, aina ya chakula cha kuagiza nk.... kitu ambacho ni funny. Vinginevyo umemuonea.
 
Unakimbia 29,000/=,
Unatongoza wa nini kama huna ubavu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…