sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Heshima mbele wakuu.
Katika hali ambayo sikuitarajia na kwa kutumia ID nyingine hapa JF nimejikuta namtongoza mtoto wa kaka yangu bila kufahamu.
Ishu ilikuwa hivi, niliweka mada ya mapenzi ambayo ilivuta hisia za watu wengi sana, na kupata wachangiaji zaidi ya 900, ile mada kiukweli ilinionesha jinsi nilivyo mjuvi wa mambo.
Sasa nikaanza kupokea pm kutoka kwa watu mbalimbali, wengine ndo ka ivo wakajileta taratibu. Ikabidi nianze kuchagua, nikakutana na mtoto flani (sitamtaja jina) maarufu sana hapa JF, ana kiingereza kizuri sana na anajiamni mno.
Nikamtupia maneno yetu, kwa siku tatu tu ikaeleweka. Likaja swala la kubadilishana namba za simu, akanipa yeye yake. Ile naandika tu kwenye simu na kuipiga nikakuta ni ya mtoto wangu.
Niliishiwa pozi, na maneno yote ya kimapenzi niliyochat nae.
Aisee nilichoka.
Mpaka leo nimempotezea na ile ID siitumii tena.