NCHABIRONDA
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 298
- 107
Bora wewe kuna dogo langu alifanya huo mchezo akaambiwa mume wake alifarikiAisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.
NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.