Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Aisee hawa wanawake ni hatari.

Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.

Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.

Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
Walahi nmechekaaa aiseee
 
Mkuu hapo sijamfumania nimemtongoza tu
kwaiyo huwez muacha mtu kisa kakubali au katongozeka
kwaio we uon kuna possibilities nyingi ya wewe sku kumfumania au huoni
ila mmmhhhhh sawa komaaaa nae kama injili ila jua hamna kitu utakuja kuchapwa sku ulielie
 
Back
Top Bottom