Hii imekaaje! mtu una urafiki nae lakini unaona kabisa lengo ni kukutongoza, sasa ktk maongezi na kuchati, mf; anakuuliza vipi kwa nini whats haupo - jibu may be sina smart phone kwasasa, hivi hapa jamani tutaweza hata kujibu kweli? - maana siku hizi dhana yenu ndo hiyo kichwani vibomu tu sijui kuchunwa. Maana nikikujibu sina smart phone nahisi nitaonekana mzee wa vibomu kumbe wala, sina wazo hata mpango wa hela au kununuliwa simu na wewe.
Sio wewe tu mkuu hata mimi hao mie nimekutana nao sana ila mie wangu huwa hawasingizii njaa, nimetoka kumtongoza jana jioni amekubali kila kitu. Asubuhi unaamka una furaha kuwa nimepata kifaa kipya,
unajichanganya kumsalimia kwa msg eti unajifanya unajali sana, anakuja bby leo nimeamka vibaya naskia homa nahisi malaria nataka niende hospital, unamjibu poa nenda bby,
atakuambia sina hela kabisa nisaidie hata elfu 20 nikapime na kununua dawa. Nimekutana nao hawa kama 6 hivi mpka leo najiuliza ina maana nina mkosi kupata wa wagonjwa wa malaria wa gafla ?. mjini hapa unatakiwa uwe mjanja
Hahahaha me nlikutana na mtoto wa chuo // cmu yangu imeharbika ctakuwepo whatsap/// cna hela ya matumizi maisha magumu ww ..... Cha ajabu nimemtongoza kakataa
Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara1 ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda, jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke.
Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond.
Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.
Sio wewe tu mkuu hata mimi hao mie nimekutana nao sana ila mie wangu huwa hawasingizii njaa, nimetoka kumtongoza jana jioni amekubali kila kitu. Asubuhi unaamka una furaha kuwa nimepata kifaa kipya,
unajichanganya kumsalimia kwa msg eti unajifanya unajali sana, anakuja bby leo nimeamka vibaya naskia homa nahisi malaria nataka niende hospital, unamjibu poa nenda bby,
atakuambia sina hela kabisa nisaidie hata elfu 20 nikapime na kununua dawa. Nimekutana nao hawa kama 6 hivi mpka leo najiuliza ina maana nina mkosi kupata wa wagonjwa wa malaria wa gafla ?. mjini hapa unatakiwa uwe mjanja
Kuna moja nimekutana nalo badoo yaani siku ya pili anataka laki na nusu halafu ndo tukutane anipe mbunye..mxxxxxx si bora niende kona bar nikapige katerero wife material anastazia kwa 20,000 kavu 15,000 kwa ndomu kwa kila bao
Hatari sana so hapo inabidi umnunulie simu na umtumie pesa ya matumizi.
Usimpotoshe mkuu , binadamu hawezi kutengenezwa kirahisi hivyo , kwa kizazi cha sasa ukijichanganya inakula kwako mazima.Sometimes wife material wanatengenezwa after marriage...
so kamaumempenda kweli muoe halafu anza kumpa dos and donts...
but kama ana njaa na hana pa kula....alikuwa anaishi vipi before you?
na waliokuwa wanamsaidia njaa yake aliwalipa nini?
kuna msichana niliwahi kuonana nae mara1 ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda, jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke.
Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond.
Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.
Inategemea na ukomavu wao wa akili.