georgemohammed
Senior Member
- Feb 4, 2014
- 188
- 44
Kama anasikia njaa mwambie azibe masikio
Sometimes wife material wanatengenezwa after marriage...
so kamaumempenda kweli muoe halafu anza kumpa dos and donts...
Nalo neno..ila ukikoswa na simba ukiwa unakimbia hata ukiguswa na jani lazima usitukeeee
Kuna moja nimekutana nalo badoo yaani siku ya pili anataka laki na nusu halafu ndo tukutane anipe mbunye..mxxxxxx si bora niende kona bar nikapige katerero wife material anastazia kwa 20,000 kavu 15,000 kwa ndomu kwa kila bao
Mambo mengine mnajiumiza kichwa tu, mtu kakwambia nasikia njaa, si umwambie akale.. kwani umemkataza...?
Mie sijuelewi... Unauliza Kama ni wife material au mwanamke material? Si umemuona Mara 2 tu? Unaongeleaje issue ya wife materials?
Kama Ana Njaa we uliyakaje? Akwambie kashiba? Na unaletaje hii issue huku? Kama vipi nipe namba yako nikutumie mpesa umtoe?
Tumia akili....
Amekupa simu ili akuchume vizuri...
Pia si ni rafiki wa dada yako? je umemuuliza dada tabia ya rafiki yake?
yaani unafikiria kuoa mtu na haujamuuliza dada? ongea na dada ujue kwanza...pozi usimtumie pesa kama anakuhusudu kweli utasikia atakayosema.
Mkuu upendo haupimwa kwa fedha hata siku moja. Fedha ni kitu ingine kabisa. As u said money materialHahahaaaaa iyo ni money material....mpe pengine anakupima tuuu usijishauri kama kweli unampenda