Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

kuwambiwa nasikia njaa tiyari kulalamika........mapenzi ndg yake pesa bana
 
kama wewe unavyotongoza leo kesho unamshika ziwa, kesho kutwa unataka mzigo ngoma droo
 
We jamaa ---- sana.unataka demu akuambie ndio nimekubali?
Demu apo katia tick na alikuwa anajiachia kwako. Maana yake ni kwba amejiskia powa kukuambia lolte na possible anasema lets go out. Alikuwa anaenda kukupa tick.

Sasa ---- kama wewe huna kazi unataka demu bomba unajishtukia demu anapojiachia
Jipange
 
mshkaji una mabango, hapo kwenye dash uliweka nini?
 
Huyu anakujaribu aone kama nawe ni husband material,kwa hela ya kula ni shilingi ngapi?Ingekuwa ni mimi namtumia buku mbili halafu natulia maana najua inatosha sana kula,wakati mwingine ombi si lazima lisubiri mwisho hata mwanzo linawezekana.
 
umeonyesha udhaifu mkubwa na niwazi umgeni katika tasnia hii ya wakubwa. ananjaa umeshindwa kumpa chakula???pole kijana, msahau huyo binti waache wenzako wamtafune tu sasa ndo kilicho baki hakuna namna nyingine..atapigwa tu!
 
Sio wewe tu mkuu hata mimi hao mie nimekutana nao sana ila mie wangu huwa hawasingizii njaa, nimetoka kumtongoza jana jioni amekubali kila kitu. Asubuhi unaamka una furaha kuwa nimepata kifaa kipya,

unajichanganya kumsalimia kwa msg eti unajifanya unajali sana, anakuja bby leo nimeamka vibaya naskia homa nahisi malaria nataka niende hospital, unamjibu poa nenda bby,

atakuambia sina hela kabisa nisaidie hata elfu 20 nikapime na kununua dawa. Nimekutana nao hawa kama 6 hivi mpka leo najiuliza ina maana nina mkosi kupata wa wagonjwa wa malaria wa gafla ?. mjini hapa unatakiwa uwe mjanja

tujuze tuapply ujanga gn?
 
jaman kusema anaskia njaa ndo kaomba hela duuuu.. hiyo kazi. may b yalikua manjonjo tu ya mapenz
 
umeonyesha udhaifu mkubwa na niwazi umgeni katika tasnia hii ya wakubwa. ananjaa umeshindwa kumpa chakula???pole kijana, msahau huyo binti waache wenzako wamtafune tu sasa ndo kilicho baki hakuna namna nyingine..atapigwa tu!

Comment za wadau zimenipa hasira jana mtoto nimemtoa out, kabugia michipsi ya kutosha kashushia na bia, aisee kanikubali kinoma kuanzia jana usiku hazikauki msg zake, leo tena anataka tukutane sijui anataka kunipa mzigo
 
Raha ya kuhonga uhonge bila kuombwa nafsi ikusukume tu ujikute umeshahonga sio kupigwa mzinga wa kuliliwa njaa.Spendi kabisa kupigwa mzinga wa kijinga ati nasikia njaa kwani we ni hotel?
 
Comment za wadau zimenipa hasira jana mtoto nimemtoa out, kabugia michipsi ya kutosha kashushia na bia, aisee kanikubali kinoma kuanzia jana usiku hazikauki msg zake, leo tena anataka tukutane sijui anataka kunipa mzigo

Kwa hiyo mzigo hukula? Kama hukula we huna shabaha
 
Comment za wadau zimenipa hasira jana mtoto nimemtoa out, kabugia michipsi ya kutosha kashushia na bia, aisee kanikubali kinoma kuanzia jana usiku hazikauki msg zake, leo tena anataka tukutane sijui anataka kunipa mzigo

Nimefuatilia mjadala toka utoe mada,nimegundua ndio maana ndoa hazidumu,kwn asiye kuomba hela wewe kuna mtu anamuomba so unajua huyo ndo wife material kumbe alikuwa akipretend,baada ya ndoa hela yako ndo ilishe wengine,mtu akikuonyesha tabia mapema ni rahisi kumuweka sawa,kuweni makini hakuna mwanaume asiyemtunza mwanamke,kwanza kuna raha yake
 
Nilijaribu vikwepa ila huruma mbaya sana najikuta tuuuu natoa
 
Back
Top Bottom