Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,305
- 11,645
ndo confirmation yenyewe au ulitaka akwambie nimekubali ila naogopaswala sio kiwango cha pesa, hata angeniomba jero tu bado ningekuwa na wasiwasi nae. Yaani unatongoza leo hata hamjaconfirm vizuri uhusiano wenu kashaanza kulia njaa?