kuna mwingine kabla ya huyu nilimtongoza akatick baada ya kunizungusha mda mrefu, alikuwa hajawahi kuniomba hela zaidi ya mimi mwenyewe kujiongeza kumsaidia pale nnapoona inafaa kufanya hivyo (nikaona hapa nimepata kweli, hayupo kwangu kwa ajili ya pesa tu), siku moja tulitoka out nikaspend naye sana, tukaagana wote tukiwa fiti, kesho yake asubuhi akanibipu nikampigia, alionyesha mwenye furaha kuliko siku zote, akasema anaenjoy sana kuwa na mimi na ananishukuru sana kwa kumcare, nilifurahi sana kusikia maneno hayo kutoka kwake, but usiku akaja na story nyingine kabisa, tulianza kuchat conversation yetu ikawa hivi;
Demu: My dear, you know what i have very big problem
Mimi: Pole, tatizo gani?
Demu: Tatizo kubwa sana, it needs money n' your prayers to solve it
Mimi: (niliogopa kuhoji kwamba anahitaji sh. ngapi kulisolve, maana nilihisi anataka 'big money' na kipindi hicho sikuwa vizuri kiukweli) nikaanza kujitetea pale kwamba sahivi siko vizuri na blah blah kibao.
Demu: so sijui itakuwaje maana ni wewe tu ndio msaada wangu, but if i die i promice i'll never forget u
Mimi: Oh don't say that dear unaniogopesha, by the way what's your problem?
Demu: I'll tell u nikifanikiwa kusolve
Mimi: Okey
Demu: Kimya...!!!
(Kuanzia hapo hataki tena mawasiliano na mimi, na sijawahi kusikia kama ana tatizo lolote)
Njaa kitu cha kawaida, Ndo mtihani unaotakiwa uushinde kwanza kabla ya yote, kwani unataka ule bila kuliwa?
exactly....amwambie tu babe pole sana kwa njaa
ukishakula tutaendelea ku chat..now kapike ule..
miss you already.....
Kwani chipsi kavu sh.ngapi dogo?
Ha ha ha ha ha chips kavu tena
kwani haziliki mkuu
Zinalika lakin mmh
Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara1 ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda, jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke.
Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond.
Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.
Kwani wewe ulijipanga uanze kumtumia pesa baada ya muda gani? Kwa taarifa yako wengine huwa wanaanza kurusha pesa baada ya dk 10 tu after mtongozano kiutu uzima