Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

Kwani kusema nasikia njaa manake nipe hela eeh? hii ndio style mpya yakuomba hela?
au unataka kujipendekeza kuanza kumpaa hela eeh?

mwanamke akikwambia anasikia njaa tu kidume inabid ujiandae kisaikolojia kupigwa mzinga
 
kende

ulikuwa unatafuta wife au "hit and run" point?
 
Last edited by a moderator:
Ndo kawaida yao sikuhizi ila kama umempenda mtumie tu
 
Ndo kibomu hicho we unadhan mdada anakwambia anasikia njaa ndo utaenda kumsongea ugali na matembele?
Hahaha yaani unatakiwa kuingia mfukoni au mpesa/tigo pesa itakuhusu

ndo maana yake
 
exactly....amwambie tu babe pole sana kwa njaa
ukishakula tutaendelea ku chat..now kapike ule..
miss you already.....

Hahahaha me nlikutana na mtoto wa chuo // cmu yangu imeharbika ctakuwepo whatsap/// cna hela ya matumizi maisha magumu ww ..... Cha ajabu nimemtongoza kakataa
 
Let us be sincere, huwa sipendi kuwa biased.... Sema ukweli toka moyoni mwako, ni kweli ulitaka uwe na future nae? Pili, Kama ni kweli, unafikiri hilo la njaa tu linaweza kuwa sababu tosha ya kum-disqualify kuwa sio material wife/Wife material- (whatever comes first)?

Tatu, ulishindwa kumtumia buku hata tano tu? as if unampa mtu mwingine yoyote au ukajifanya umeiangusha au umetoa sadaka na kuona outcome yake?

Nne, Je kama ungemuomba mambo, na akakukubalia the same day kama alivykupiga "mzinga the same day" je hii ingetosha kuwa Material Wife?

Nikushauri, unapomu-approach mwanamke, lazima uwe na vigezo au kwa sisi Wanunuzi tunasema Lazima uwe na Specifications!

Sina muda lakini ningeongea na wewe kwa kirefu kidogo na ungejua kuwa umefanya kosa kukimbilia kumuanzishia mtu thread...... Tutaongea next time ila kama ni hivyo Mpwa, utapoteza wengi.
 
Hahahaha me nlikutana na mtoto wa chuo // cmu yangu imeharbika ctakuwepo whatsap/// cna hela ya matumizi maisha magumu ww ..... Cha ajabu nimemtongoza kakataa

Ulikosea kumtongoza
alipotangaza njaa manake kakutongoza wewe
ulipaswa kwenda nae na style yake
 
mwambie pole...nenda kale baby wangu!

nna ubavu wa kumjibu hivo, si atasusa kimoja. In short niliumbuka jana, tigopesa nilikuwa na mia nane tu, mfukoni na buku 5. Ikabidi nijitutumue nimwambie ukweli kwamba leo siko vizuri, siku nyingine
 
There is no such possibility like something for nothing...
 
kidogo tu umekuja kusemelea die hard,,,,,,,,, maisha yashabadirika kwani hata huyo wife material huwez kumpa hela? ukiwa huna hela kaa kimya acha wenye nazo watembee hapo hata buku tano haishi mpeleke kwenye chipsi zege la buku mbili usome upepo maji yakiwa marefu kimbia.
 
Sio wewe tu mkuu hata mimi hao mie nimekutana nao sana ila mie wangu huwa hawasingizii njaa, nimetoka kumtongoza jana jioni amekubali kila kitu. Asubuhi unaamka una furaha kuwa nimepata kifaa kipya, unajichanganya kumsalimia kwa msg eti unajifanya unajali sana, anakuja bby leo nimeamka vibaya naskia homa nahisi malaria nataka niende hospital, unamjibu poa nenda bby, atakuambia sina hela kabisa nisaidie hata elfu 20 nikapime na kununua dawa. Nimekutana nao hawa kama 6 hivi mpka leo najiuliza ina maana nina mkosi kupata wa wagonjwa wa malaria wa gafla ?. mjini hapa unatakiwa uwe mjanja

hahaha basi ndo style ya mizinga sikuhizi, anyway huwa unawatumia au unakausha?
 
Ulikosea kumtongoza
alipotangaza njaa manake kakutongoza wewe
ulipaswa kwenda nae na style yake

Nilianza na tongozo kakataa then nimempotezea mudaa karudi kuchat kdgo tu ansema maisha magumu ooh cmu mbovu
 
Hiyo ni Introduction, anapima upepo. Ukituma hela ya kula, next ni kodi ya nyumba. Baadae kuna birthday. Kuna kuchangia ada ya mdogo wake etc. Mwambie huna hiyo hela upate jibu kama ni wife material!
 
nna ubavu wa kumjibu hivo, si atasusa kimoja. In short niliumbuka jana, tigopesa nilikuwa na mia nane tu, mfukoni na buku 3. Ikabidi nijitutumue nimwambie ukweli kwamba leo siko vizuri, siku nyingine

ulifanya vyema kumwambia ukweli...
 
Back
Top Bottom