Hahaha hii swaga ya kuoa sijawahi kuferiInategemea ulimtongozaje?
Swaga la kuoa? Jibu lilikuwa ndio?
Unategemea nini?
Wadau salaam
Kama kichwa kinavyijieleza hapo juu ,kuna mdada nimemtongoza kama wiki moja iliyopita, lakini ajabu ni kuwa bila kuniambia kinachoendelea leo nashangaa naitwa na mama yake eti amefurahi mimi kuwa mkwe wake......kwakweli nimepigwa na butwaa maana nimebaki nacheka cheka tu lakini nilivyompigia simu huyo ndio anakuja kuniambia kuwa mama yake na ndugu zake wote kawaambia.
Kwakweli nimeshikwa na butwaa na nikajawa na hasira maana hata kama mtu una lengo la kumuoa sidhani kama inaweza kuwa haraka kiasi hiki.
Wadau hii imekaaje ni sahihi au sio sahihi?
Karibu
hii kaliWe umefeli kabisa braza!!! na we si ungekimbia kwa mom ukamwambia kuwa umepata mke? We vip bana
Swali kuntu hiliKwani wewe siyo mchumba wake?
Huyo kazidisha mbwembweedemu kaona hapa ndo penyeweeeKama ulimtongoza kwa maneno mazur mazur na ahadi za uongo uongo kwa nini ulalamike kwa mlengwa kufikisha taarifa kwa wahusika?
Jifunze kua mtu mkweli na unaesimamia misingi, mwenye kujali na kuheshim hisia za wengine,
Ni kweli mwanamke huwezi mpata bila kumdanganya ila ni vema ukatumia uongo ambao hautokuja kukuletea matatizo au kukuhamisha ktk malengo yko.
Bado maana kwanza tuna wiki mbili bado sijagonga
Wee acha tu ...ni mtihaniHujasema kama alikukubalia au la! Kwani ulivyomuapproach ulikuwa unamaanisha au ulikuwa unabeep tu? mwenzio ameamua kukupigia kabisa.
Kila kitu kina hatua....huwezi tongoza leo kesho ukatangaza kuoaWanawake wameumbwa kumwamin mtu hata ktk lugha zao.
Inawezekana kabisa. Ulitumia mbinu ya kumwambia kua unataka kumuoa tena ukawa unamuhakikishia...NANI ANAJUA??????
ulitaka asiamin maneno yako????.
IVO KOSA SIO MWANAMKE, ISPOKUA ,ACHA MBWEMBWE!!!.
kumwambia umuambie wewe, alafu yeye kuwambua nduguze vibaya???? .