Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

Kama umemuelewa, peleka poa uoe. Tena nakushauri kama unataka kumuacha Usimgegede, laa sivyo itakugharimu!
Kwann mkuu... Leo kaniambia weekend hii tuwe pamoja na kwamba ataaga ankuja kwangu...huu si msala jamani maana mpaka kumgegeda nshaogopa
 
Kimbia mbio nyingi sana bro, tena usigeuke nyuma hata ukipigiwa miruzi na kelele (Ukiskia hio miruzi na kelele we fikiria jamaa wanakushangilia uzidi kukimbia spidi zaid).

Wa hivi ndio wale ukiwaoa, unaoa pamoja na SHIDA ZOTE ZA UKOO MZIMA, SHIDA ZA MJOMBA, SHIDA ZA BIBI KIJIJINI , SHEMEJI ZAKO, SHIDA ZA "Si yule ndugu yetu aliekua anakuja kukusalimia kijijini, tulivyoenda kutembea kwa babu? Hivi umemsahau kweli?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom