Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

Wadau salaam
Kama kichwa kinavyijieleza hapo juu ,kuna mdada nimemtongoza kama wiki moja iliyopita, lakini ajabu ni kuwa bila kuniambia kinachoendelea leo nashangaa naitwa na mama yake eti amefurahi mimi kuwa mkwe wake......kwakweli nimepigwa na butwaa maana nimebaki nacheka cheka tu lakini nilivyompigia simu huyo ndio anakuja kuniambia kuwa mama yake na ndugu zake wote kawaambia.
Kwakweli nimeshikwa na butwaa na nikajawa na hasira maana hata kama mtu una lengo la kumuoa sidhani kama inaweza kuwa haraka kiasi hiki.
Wadau hii imekaaje ni sahihi au sio sahihi?
Karibu
Ndugu yangu kuna mabinti walishashindikana na kukatiwa tamaa na ukoo mzima achilia mbali familia kama watakuja kuolewa. Seemingly huyo yupo katika mkakati wa kuwaprove wrong ndugu zake tu. Akili za kuambiwa changanya na zako, ila nadhani wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu.
 
Lakini bado mdogo...yuko below 20yrs
 
Hii inaashiria hukutumia maneno ya kweli wakati ukimtongoza lait ungemwambia unamuhitaji umtumie mara moja au mbili hata kwa kumlipa, haya malalamiko unayo yaleta hapa yasingetokea.
 
Sidhani kama inawezekana umtongoze demu halafu umwambie kuwa umemtongoza kwa ajili ya matumizi ya siku mbili au tatu...
 
Kama ulimtongoza kwa maneno mazur mazur na ahadi za uongo uongo kwa nini ulalamike kwa mlengwa kufikisha taarifa kwa wahusika?

Jifunze kua mtu mkweli na unaesimamia misingi, mwenye kujali na kuheshim hisia za wengine,
Ni kweli mwanamke huwezi mpata bila kumdanganya ila ni vema ukatumia uongo ambao hautokuja kukuletea matatizo au kukuhamisha ktk malengo yko.
 
Wew huyo msichana umemuona wa kawaida sana ndo maana
Lakin angekua ndio demu ambae una mkubali dunia nzima
Wala usinge hisi hasira.

Ni waz hukua na malengo nae sana.
 
Mwite mwambie yaliomoyoni.
Basii kwa maana kuolewa sio shida au kuoa tatizo lazima mpeane muda wakujuana tabia kama mtaezana.
Ndio harusi ifuate
Tabia zip tena?

Unatakiwa ujue tuu, now nikufanya kama ilivo andika bible.
Basi utampendeza kila mtu
 
Wadau salaam
Kama kichwa kinavyijieleza hapo juu ,kuna mdada nimemtongoza kama wiki moja iliyopita, lakini ajabu ni kuwa bila kuniambia kinachoendelea leo nashangaa naitwa na mama yake eti amefurahi mimi kuwa mkwe wake......kwakweli nimepigwa na butwaa maana nimebaki nacheka cheka tu lakini nilivyompigia simu huyo ndio anakuja kuniambia kuwa mama yake na ndugu zake wote kawaambia.
Kwakweli nimeshikwa na butwaa na nikajawa na hasira maana hata kama mtu una lengo la kumuoa sidhani kama inaweza kuwa haraka kiasi hiki.
Wadau hii imekaaje ni sahihi au sio sahihi?
Karibu
ana umri gani? kuna kitu hapa either mtot au janjajanja
 
Kazi unayo!
IMG_20181125_062524.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom