Rafiki yangu alitaka kunipa mchumba nisiyemtaka

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Wakuu mwaka Fulani ndo nimetoka Tu kwenye majanga ya kugombana na mwanamke niliyekuwa nikiishi Naye na kuzaa Naye mpaka kumuweka ndani Kwa kesi ya uwongo alifuta kabla mambo hayajaharibika. Waha Mungu Anawaona aisee.

Ulipita takribani mwaka na miezi kadhaa nikaamua kutafuta binti WA kuoa sasa bahati nzuri Nina rafiki yangu tunaheshimiana sana aisee ni zaidi ya ndugu tumeshibana hasa kwasasa ni pastor.

Nilimshirikisha adhima yangu ya kutaka mchumba nioe, alifurahi Sana na akaniunga mkono akasema Mambo ya kufungisha ndoa atashughurikia yeye mpaka vyeti.

Basi siku moja akanipgia simu akanishirikisha kuhusu binti mmoja WA kisukuma waliyekuwa wanaishi Naye akanipa sifa zake zote kwamba ni mchapa KAZI Sana kwahiyo hata kama Nina miradi basi atasaidia Sana Ila kubwa nisiangalie uzuri Bali niangalie uchapa KAZI wake na sifa za kuwa mke, japo hili la kutongalia uzuri nilimpinga Sana mpka kubishana maana nilimwambia lazima nimpende Kwa macho Kwanza siwezi oa mtu ambaye sjampenda eti kisa Tu ni mchapa KAZI au eti ana sifa za kuwa mke hapana itanipa shida pia binti WA watu Naye Tampa shida.

Basi nilipata likizo nikaamua kwenda huko aliko rafiki yangu kumsalimia lakini pia kumuona na huyo binti. Kweli nilifika nikamuona binti vizuri Ila sikumpenda na sikutaka onyesha hadharani kwamba sijampenda nilinyamaza Tu uzuri rafiki yangu na mkewe nao hawakuniulza lolote mpaka naondoka maana niliokuwepo pale kama wiki mbili nadhani walijiongeza Tu wenyewe.

Sasa siku moja nilikuwa nimetoka na rafiki yangu akapigiwa simu na mtu mmoja ni mmama wakawa wanaongea kwenye maongezi Yao niligundua wanamzungumzia Yule binti japo mwanzo sikujua maana aliyepiga simu aliulizia mama wawili yupo na rafiki yanga akajibu hayupo alishaondoka kwangu mmmh maongezi yaliendelea ndipo niligundua aliyekuwa anazungumziwa ni Yule binti kumbe ana watoto wawili na yule mama akawa analalamika kwamba Yule binti ana tabia mbaya kwani anatabia ya kuhamisha maneno Sana ni mchonganishi.
Mmmh niliumia Sana kusikia Yule binti ana watoto tena wawili na rafiki yangu kwenye maongezi yetu yote kuhusu sifa za Yule binti hakuwahi nambia ana watoto alifanya Siri yeye na mkewe sijui lengo lilikuwa ni nini.

Niliumia Sana nikajawa na hasira kwanini rafiki yangu alitaka kunifanyia kitendo kisicho cha kawaida kunipa mtu WA kuoa ambaye tayari ana watoto na hajanambia SINA maaana Dada mwenye watoto hafai kuolewa hapana Ila Kila mtu anachagua vile anavyoona.

Alipokata simu nilimuulza kwanini hakuwahi nambia Yule binti alikuwa na watoto nilishangaa sana jibu alilonijibu eti mbona wewe Una mtoto aisee, nikamwambia Mimi kuwa na mtoto si sababu ya Mimi pia kuoa mdada mwenye mtoto na ilitakiwa uniambie kama naridhia maana kama ningempenda nikamuona na nikajaletewa watoto huoni ingeniletea shida Sana hiyo Hali uwenda ndoa ingeingia doa kubwa sana ambalo uwenda yangekuwa mengine jamaa naona alichukulia poa Tu.

Mpaka leo huwa nikikumbuka huwa namshangaa Sana Yule ndugu sjui alikuwa anawaza nini.

Je wakuu mliwahi kumbana na maswahibu kama hili.
Je rafiki Yangu Alikuwa ana nia gani au alikuwa sahihi?
 
Hao watoto ni wa huyo rafiki yako ambaye ni pastor, nahisi alitaka umsaidie kulea wale watoto wake.
 
Boss, umekiri hapo kwamba binti hukumpenda toka ulipomuona mara ya kwanza sasa hayo mengine yasikupe shida wewe endelea kutafuta yule utakae mpenda. Huyo rafiki yako mueleze binti hujampenda maisha mengine yaendelee.
Mi nilishaoa Mkuu miezi 7 sasa sema hili tukio huwa nikikumbuka, namshusha Sana m friend
 
Hao watoto ni wa huyo rafiki yako ambaye ni pastor, nahisi alitaka umsaidie kulea wale watoto wake.
Hapana Jamaa yangu namjua sana Nmesoma nayE AdvAnCE NA chuo kimoja mkewe pia tumesoma Naye chuo kwao na rafiki yangu nakwenda kama kwetu Tu ndugu zake wote nawajua Hana watoto nje mkuu na umri wake na wangu nikipga hesabu hawezi kuwa na watoto wawili haraka hivyo, mkewe ana wivu Sana na mdadisi angeshajua
 
Yaani rafiki anakutafutia mchuchu wa kuoa? Si sawa kabisa
Si sawa endapo huyo utakayooneshwa atakuwa si sahihi baada ya uchunguzi wako.

Mimi nilioneshwa na rafiki yangu, the rest is history...
 
Sasa mkuu, huyo uliyemzalusha ataolewa na nani?
Hayo Mimi Hayanihusu aisee maana sihitaji kumzungumzia huyo nadhan niliwahi kuyasema humu na watu wengne wakatoa shuhuda humu za kutisha kutokana na kile nilichokisema.

Mbona hata huyu mke wangu ana mtoto mmoja nilimkuta Naye skuona tatizo maana nilimpenda na aliniweka wazi kabisa kabla ya kuanza uhusiano ndo maana nimesema pia kuwa na mtoto au watoto si sababu ya kuondokewa na sifa ya kuolewa tatizo rafiki yangu na mkewe walifanya kificho hawakuwahi kuniambia kabisa wakati walikuwa wanajua Hilo maana yake nini.

Niliyemzalisha unaweza kwenda kumuoa hata wewe kama unaweza kuoa mwanamke anakutukania mpka wazazi wako na kukuvurumushia mitusi mbele majirani na kukuita shoga mbele ya majirani na kutukana matusi mazto mbele ya ndugu zako nenda umtafute uoe.
 
Nakufahamu blo na huyo mke uliyeoa ana mtoto wangu.nitunzie mwanangu ila ujue haya huyo mwanamke huwa tunakutana kwa siri kupasha kiporo
 
Haina shida njoo na wewe nikutunze tajisikia fahari Sana kukutunza na wewe. Hakika wanaume tunaisha sasa si unaona wengne wanaona fahari kutunziwa watoto wao yaani kukwepa majukumu kwao ni sifa. Njoo dogo na hivi una matako kumzidi Dada yako Yule Mariam si unakumbuka nilikuwa nakutuma ukaniitie unakuja nae mpaka geto unakaa nje kulinda Mtu akija unapiga mluzi kutustua nikimaliza kumpia mkia Unamchukua unamrudisha home njoo nilipake Wese Hilo wezele
 
Huyo demu nilimuacha sababu ana ukimwi kenge wee.kila siku mnaambiwa msioe songo mother hamsikii,na huyo binti mama yake mama john ni mchawi kaishakuroga.kwa ufupi huna akili.na kuna siku nitamgonga hiyo mwanao uliyezaa nae pamoja na wewe na mtalaka wangu.kenge wewe
 
Mkuu, mwanamke haukumpenda unaumizwa nini na yeye kuwa na mtoto?

Kama umeshaoa endelea na maisha yako mapya, hakuna haja ya kuwaza nia ya rafiki yako.

Kama hauwezi kuishi kwa amani mpaka ujue nia yake basi nenda ukamuulize huyo rafiki yako ndiyo anayejua.

Humu unataka tupige ramli!!? Man up brother.
 
Huyo demu nilimuacha sababu ana ukimwi kenge wee.kila siku mnaambiwa msioe songo mother hamsikii,na huyo binti mama yake mama john ni mchawi kaishakuroga.kwa ufupi huna akili.na kuna siku nitamgonga hiyo mwanao uliyezaa nae pamoja na wewe na mtalaka wangu.kenge wewe
Mjanja Huyoo check tambo zake ila nikushauri kitu Acha kusingizia watu Mambo yasiyo ya ukweli MFANO kusema Mtu ana ukimwi mara mama yake mchawi sidhan Ka Mtu mwenye afya ya mwili anaweza kuropokaropoka hivi utakuwa unaumwa akili.
 
Back
Top Bottom