Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

Kimbia mbio nyingi sana bro, tena usigeuke nyuma hata ukipigiwa miruzi na kelele.

Wa hivi ndio wale ukiwaoa, unaoa pamoja na SHIDA ZOTE ZA UKOO MZIMA, SHIDA ZA MJOMBA, SHIDA ZA BIBI KIJIJINI , SHEMEJI ZAKO, SHIDA ZA "Si yule ndugu yetu aliekua anakuja kukusalimia kijijini, tulivyoenda kutembea kwa babu? Hivi umemsahau kweli?"
Mkuu nimeshangaa hata bibi yake eti niongee nae kwenye simu
 
Haya mambo kwa wamwera huku pande za Kus kawaida sana, bora yako wiki mbona kachelewa huku umebadikishana namba za simu kituo cha kwq mamake hata kaka na baba yake na ukikutana naye wanatia hujambo mwanangu
 
Wadau salaam
Kama kichwa kinavyijieleza hapo juu ,kuna mdada nimemtongoza kama wiki moja iliyopita, lakini ajabu ni kuwa bila kuniambia kinachoendelea leo nashangaa naitwa na mama yake eti amefurahi mimi kuwa mkwe wake......kwakweli nimepigwa na butwaa maana nimebaki nacheka cheka tu lakini nilivyompigia simu huyo ndio anakuja kuniambia kuwa mama yake na ndugu zake wote kawaambia.
Kwakweli nimeshikwa na butwaa na nikajawa na hasira maana hata kama mtu una lengo la kumuoa sidhani kama inaweza kuwa haraka kiasi hiki.
Wadau hii imekaaje ni sahihi au sio sahihi?
Karibu
Wakati unamtongoza ulikuwa unataka nini?
 
Hiyo tunaiita proactive move
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom