Nimemshangaa General Mirisho Sarakikya

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,176
31,969
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo kulikuwa na kikao cha Washili wa kabila la Wameru.Washili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.

Washili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.

Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.

Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.

Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.

Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.

Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
 
Wameru Hawapendi upuuzi

Nassari aoneshe Dispatch book iliyosainiwa Na Afisa yoyote wa Bunge kuthibitisha Kuwa aliandika Barua na kuipeleka ofisi ya Bunge kwa ajili ya Ruhusa nanTaarifa

Kwanini Uongozi wa Chadema Bungeni haufuatilii Mahudhurio ya Wabunge wake?

Hapa Nassari kaamua kwa makusudi kabisa kupunguza idadi ya Wabunge wa Chadema msitafute kisingizio Cha kuhamisha Magoli
 
Hivi email inatumwa kwa dispatch 🏃🏿
 
Kesho ataongea na reporters
 
Ni kweli nakumbuka kale kamgogoro ka kanisa KKKT
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.

Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.

Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.

Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.

Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.

Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.

Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.

Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.

Kwa kuangalia picha zake za sasa huyu jamaa anaonekana kama anaongozwa na njaa. Miaka ya nyuma aliongelewa sana hapa. Kipindi hicho JF ilikuwa na watu wenye data za uhakika.

Gen. Mrisho Sarakikya aliwahi kuhusishwa na Uhaini? - JamiiForums
 
Washili wamesema hakuna wa kupinga.Hii ni haki yao na jukumu lao kimila.
 
Taarifa chini ya kapeti kumbe kikao cha Washili kiliratibiwa na kufadhiliwa na CCM Mkoa wa Arusha.Mipango ilianza siku ya msiba wa Baba yake Kigogo Fulani wa CCM.
 
Usiwashuhudie uongo washili kwani nguvu yao kimila ni kubwa sana
 
Kwa kawaida kikao cha Washili kina taratibu zake na tena kinachukua muda mrefu sana kuitishwa hasa baada ya taratibu za mila kukamilika.

Uamuzi umetoka jana leo kikao kimefanyika !.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.

Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.

Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.

Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.

Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.

Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.

Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.

Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
Movie ... usipoteze sana nguvu.
 
Back
Top Bottom