Nimemshangaa General Mirisho Sarakikya

Nimemshangaa General Mirisho Sarakikya

Unashangaa nini mb Matiko aliwakilisha barua toka kwa spika wa bunge iliyoonyesha alitumwa na Bunge kwa kazi maalum nje ya nchi na bado haiku thaminiwa itakuwa email ya Nassari?

Hiyo email kakuoneSha?

1) Kaituma kwa nani Na lini?
2) ilikuwa ya Taarifa Au kuomba Ruhusa?

3) aliambatanisha Na uthibitisho ( attachment) ya huo udhuru?
4) alijibiwa?
5) Aliujulisha Uongozi wa Chama chake Bungeni kuhusu kutokuwepo kwake?

6) ilionesha huo udhuru Ni wa Muda gani?

Msilete Ujinga
 
leo Kwenye Hicho Kikao walitema Mate kuelekea Pembeni Kwa ile style yao ya Dharau??

"Mopao Mokonzi"
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.

Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.

Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.

Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.

Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.

Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.

Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.

Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.

Jeshi na CCM ziko pamoja toka mwaka 1977.. Yaani wako pamoja kwa mapenzi ya dhati kabisa na wamedumu mpaka leo.. Hawataachana BILA katiba mpya
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.

Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.

Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.

Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.

Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.

Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.

Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.

Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
Ningekuona wa maana ungemshauri aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na sasa kawa mwenyekiti wa SACCOS ya Kaskazini mkoa wa Pwani,kutoka uwaziri wa mkuu wa JMK hadi mwenyekiti wa SACCOS huko Kiluvia,aibu gani hii,lakini wewe umemuona Mzee sarakikya pekee.
 
Of course wale wote walikuwa ccm.kusema kuwa Nassari hajawafanyia kitu ni uwongo wa hali ya juu. Mtu aliwanunulia mpaka ambulance??????
 
CDF ni wadhifa mzito sana

HATUNA statesmen.

Mkuu wa majeshi sio mtu mzito kuliko Rais Mstaafu Mwinyi, Mkapa na Kikwete

Sio mzito kuliko Waziri wa Ulinzi na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, na Pinda na Malecela, Msuya na Lowassa.

Sio mzito kuliko Jaji Mkuu Mstaafu Ramadhani, Samatta, Othman na Spika Msekwa na Makinda. Na wale wakurugenzi Usalama, ma kleptocrat wakubwa wa nchi hii.

Wote hao hakuna stateman, mtu anaesimama wima bila woga kutetea misingi na nguzo zinazoshikilia nchi hii.

Jana ripoti ya haki za binafamu imetoka, dunia imeorodheresha katalogi la machafuchafu ya Tanzania, wanasiasa na wananchi waliopigwa mapanga, waliopotezwa, waliofungwa mahabusu miaka 5, 10, waliopigwa risasi, waliotupwa baharini, waliotiwa umaskini, walioshitakiwa, waliofirigiswa kwa kila namna.

Wastaafu wetu wamekaa miguu juu, aloof as door knobs, wanaogopa kunyang'anywa mashamba, landcruiser la serikali na dereva na mwaliko wa Mkutano Mkuu CCM kila miaka mitano. Wanajiuza kwa vitu vidogo, vidogo,vidogo, vidogooooo. Na baadhi vikubwa kama kupelekwa kutibiwa India bure kwa kodi zetu, vitu ambavyo wananchi wao tunaishi na kufa without. Na bado hawatutetei.

Spineless, shameless, selfish African kleptocrats.
 
Taarifa chini ya kapeti kumbe kikao cha Washili kiliratibiwa na kufadhiliwa na CCM Mkoa wa Arusha.Mipango ilianza siku ya msiba wa Baba yake Kigogo Fulani wa CCM.
Hakuna kupepesa macho. Nasari ni muelewa. Hakuna alichokifanya kwa kutokuelewa. Drive iliyopo kwa sasa ni e-government. Kama alituma email kwa spika na kujibiwa, kuna tatizo gani? Ushaidi utaonesha. Short of that sheria itafuata mkondo wake.
 
Unashangaa nini mb Matiko aliwakilisha barua toka kwa spika wa bunge iliyoonyesha alitumwa na Bunge kwa kazi maalum nje ya nchi na bado haiku thaminiwa itakuwa email ya Nassari?

Hujui Sheria

Ukiambiwa usisafiri Nje ya Nchi kwa sababu ya Masharti ya dhamana ukaleta Barua Kuwa ulisafiri Safari ya Kikazi hiyo sio defence

Ulipaswa kumwambia aliekutuma Kuwa huna Ruhusa ya kusafiri Na Kama anataka usafiri amuombee idhini ya kusafiri.
Huu ndio utaratibu jee aliufuata?
 
Ndg umesahau Nassari kipindi anagombea ubunge kwa Mara ya kwanza alishindana na nani kutoka Ccm.?
Ni mtoto wa Sarakikya.!
Kwa hiyo usishangae yeye kuhudhuria hapo ana masilahi kwenye kikao hicho.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuona wa maana ungemshauri aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na sasa kawa mwenyekiti wa SACCOS ya Kaskazini mkoa wa Pwani,kutoka uwaziri wa mkuu wa JMK hadi mwenyekiti wa SACCOS huko Kiluvia,aibu gani hii,lakini wewe umemuona Mzee sarakikya pekee.

Kuwa waziri mkuu wa Tanzania ambayo ni nchi masikini nayo ni sifa? Ingekuwa aliwahi kuwa waziri mkuu wa Uingereza si ungetaka akifa apae mbinguni kabisa?
 
Hujui Sheria

Ukiambiwa usisafiri Nje ya Nchi kwa sababu ya Masharti ya dhamana ukaleta Barua Kuwa ulisafiri Safari ya Kikazi hiyo sio defence

Ulipaswa kumwambia aliekutuma Kuwa huna Ruhusa ya kusafiri Na Kama anataka usafiri amuombee idhini ya kusafiri.
Huu ndio utaratibu jee aliufuata?

Je jaji aliyewatoa mahabusu aliongea huu upuuzi unaouongea hapa uchochoroni? Hizo sheria za jiwe baki nazo huko Chato.
 
Yale Ni Mawazo ya Judge Na haya Ni Mawazo ya Pohamba

Hata Kwenye Hukumu Mahakama ya Rufaa Kwenye kesi Moja Judge mmoja anaweza akakutoa Kwenye Hatia Mwingine akakuona una hatia so relax punguza Jazba huu Ni mjadala wa Mawazo binafsi ya Wachangiaji sio Mawazo ya Majaji pekee
 
Wameru Hawapendi upuuzi

Nassari aoneshe Dispatch book iliyosainiwa Na Afisa yoyote wa Bunge kuthibitisha Kuwa aliandika Barua na kuipeleka ofisi ya Bunge kwa ajili ya Ruhusa nanTaarifa

Kwanini Uongozi wa Chadema Bungeni haufuatilii Mahudhurio ya Wabunge wake?

Hapa Nassari kaamua kwa makusudi kabisa kupunguza idadi ya Wabunge wa Chadema msitafute kisingizio Cha kuhamisha Magoli

mfano email ina despatch book?
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.

Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.

Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.

Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.

Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.

Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.

Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.

Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.

Kwa ninavyowajua JWTZ na hapa tena umemuongelea ' Retired CDF ' Wao General Sarakikya hadi kumuhusisha na hisia zako za Kisiasa naomba nisipatwe na hamu ya Kuchangia chochote au lolote badala yake niwe tu Mtazamaji / Mkodoleaji wa Kutukuka wa huu ' Uzi ' wako.
 
Back
Top Bottom