mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,324
Kuchangia kwa Maandishi Mara nyingi ni njia bora zaidi kuliko kupiga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi wake wanajua anachangia nini? Kama ni kwa maandishi kuna ulazima gani aende huko? Kama ni hivyo Nassari alitakiwa ahudhurie iwe nini kama kuchangia kwa maandishi ni njia nzuri?
