Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Pole sana mkuu, hua nafatilia sana nyuzi zako humu. Moja kati ya watu very conscious and a great thinker.. Itoshe tu kusema mshua alizaa jembe! Apumzike kwa amani!!!
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana kwa kumpoteza Baba yako mzazi Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi kigumu cha kumpoteza mzazi
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Poleni sana! Apumzike Kwa Amani!
 
Maxence Melo boss mukubwa, ni wakati sasa tuwe na bima ya mazishi, dunia inaenda mbio sana boss.

It's matter of decision isiwe lazima boss.
 
Pole sana Mkuu, Mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana shemeji yetu, kazike sisi tutakuja kutoa rambirambi
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana ndugu yetu tupo pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom