Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

Oyah, poa ndugu zangu, wacha nivae nguo za uchizi nielekee maporini nikatafute madola ili siku moja tuje tuishi wote hapo bongo.
Naipenda Tanzania yangu, ila kwa sasa nimejikojolea (sina pesa) niki kutana nazo lazima nirudi tuje kuungana kudai Katiba mpya na kuomba kutolewa kodi za tozo.
Pamoja wadau.
Njoo Uvira,uchukue pesa dhahabu nyingi mno ukiweza kupiga gendo moja acha migodini
 
Kuuwa sio powa ila hao jamaa wanatafuta vifo kwa nguvu
Mkuu kuuwa kuna madaraja yake.

Siyo kila mtu anayeuwa ana makosa hapana, mauaji mengine huwa siyo makosa kisheria na kiimani, yanaitwa mauwaji ya heshima.

Mleta mada ni kama kauwa mbwa tu, hakuna cha kesi wala dhambi hapo.

Tena katuwakilisha tuliochoshwa na visanga vya wezi na majambazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake.

Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa.

Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo sasa kajikanyaga, asipokufa basi majeraha ya kichwa atayauguza mpaka tutakapo kutana motoni, jinga sana.

Ilikuwa hivi, nimerudi zangu mihangaikoni mida ya jioni kama saa kumi na moja.

Kwa uchovu wa kazi niliokuwa nao (kuchimba jamani sio sawa na kutia sign kwenye makaratasi) nikaamua kuoga na kujipumzisha kidogo, kutokana na uchovu, usingizi ukanipitia na kujikuta nimeamka mida ya tano usiku.

Kwakuwa mida ilishakuwa imeenda na watu walishalala nikaamua wacha itoke tu mpaka kesho.

Lakini kila nilipojaribu tena kulala usingizi ulikuwa haupatikani, nikaamua kutoa simu yangu, cha kwanza nikampigia mke wangu kujua hali zao yeye na watoto, nilipomaliza mazungumzo nikaingia mjengoni (JF) kupata kujua kinachoendelea duniani.

Kipindi naendelea na charting zangu, mara nasikia mtu kama anapushi mlango, nilitulia kidogo, eeh sindio naona kitasa kinavunjwa, hapo nikaifunika simu chini fasta ili asiuone mwanga wa simu, nikainuka na panga langu nikatulia pembezoni na mlango, kwamba akifungua mlango awe amenificha na ule mlango.

Kama aliingia ndani ya akili yangu, jamaa kafosi mpaka akafanikiwa, alivyoingia ndani (mkononi ana nondo) yeye akawa mbele mimi niko nyuma yake na ndani kiza hakuniona.

Mungu anisamehe, nikapeleka la kwanza, sikutaka kungoja fasta nikapeleka la pili mchizi chini kwenye sakafu, alipiga kelele moja tu ya mamaa khinakwa (kwa kimakua maana yake mama nakufa).

Nahisi nje kulikuwa na mwenzie akimpigia saiti mila, maana nilisikia vishindo vya mtu akikimbia.

Nilichofanya niliokota nondo yake na kuishika mkoni, mara jirani yangu tunaekaa chumba jirani akaamka na kuja chumbani kwangu, nikawasha taa, jamaa kafloti analia kwa sauti ya mbali.

Mpangaji mwenzangu nae ni mchimbaji kama mimi, tukashauriana tumbebe tukamtupe nje. Tukalibeba msobe msobe mpaka nje jirani na mitaa hii, tukalitupia huko.

Uzuri wa maeneo haya (mgodini) kila mtu anaangalia lake, hakuna hata alietoka nje, kushabikia.

Hapa nimemaliza kufuta damu chumbani kwangu, na sidhani leo kama nitalala.

Maduka kama yangekuwa hayajafungwa ilibidi nipate kikali (pombe kali) ili kutoa mawenge kichwani.

Akipona safi, akifa shauri yake.
😹😹
 
Aisee
 
usisahau kuleta mrejesho ashukuriwe Mungu hajakupiga na hiyo nondo
 
Mi natafuta mmoja wa kumuuwa Yan nikikikutana nae ntamuuwa kikatili sana iwe fundisho kwa waiz wote wanaonirudisha nyuma
 
Alikuwa anajilinda. Asingejilinda ile nondo ingemwua yeye.
Binafsi namkubali mshikaji kwa kitendo alichokifanya.

Hata mimi chumbani nina panga, nondo na fimbo. Hivyo ninapohama huwa vya kwanza kuingizwa kwenye gari na nimifika ndo vya kwanza kuingizwa room.
Imenifurahisha
 
Kuna wezi walikuwa wananisumbua kila siku usiku....kuruka ukuta. Nikaweka vyupa juu wakawa wanaweka matambara wanaruka tu.

Nikaona ishiwe taaabu niingie gharama kidogo nikanunua misumari ya nchi 4 kilo 5 nikanunua na mbao 5 za 1 by 8.

nikagonga zote zikatokea upande wa pili...nikazipanga pale ambapo huwa wanarukia ukuta kisha nikafunika na gunia jepesi...nikalala zangu..

Jamaa wakaja kama kawaida yao - huwa wanavaa matambala kwenye nyao zao ili wanyate bila vishindo... siku hiyo nikawa macho nishuhudie...

Wawili wakapanda ukuta...kwa kwanza akajipupaaa...kimyaaaa....wa pili naye akajitupaa kimyaaa...

Wale wenzao kwa nje wanaita oyaa vipi...

Jamaa wamenasa kwenye misumari... nilitoka taratibu huku wakiniita braza braza tuhurumie braza....

Sikuhangaika nao, mdogo mdogo nikaenda kwa mwenyekiti serikali ya mtaa, kisha tukaenda police... walikaa kwenye misumari kama masaa 2 hivi - saa 11 na nusu pameshaaza kupambazuka majirani woote wamekuja kushuhudia wanavyongolewa..

Aisee ilikuwa mbaya sana, ila fundisho walilipata.
good
 
Nakumbuka mwaka jana walinisafisha kila kitu nikabaki na nguo nilizo vaa tu.
Show ilikua kama hivi, unajua hapa mgodini kipindi cha mvua kila mtu huwa pesa, hivyo hakuna mtu anae waza kuiba, kutokana na nyasi kuwa nyingi hivyo upelekea hata wahoga kua na moyo wa kujilipua kwenda kuchimba kwenye poli lililo katazwa

Tatizo linakuja kipindi cha miezi hii.
Hiki ni kipindi cha kiangazi, nyasi zote hukauka na kulifanya poli kuwa wazi, hivyo huwarahishia walinzi wa poli kifanya kazi yao kwa ufasaha, wengi wa wachimbaji huingia na woga wa kuingia polini kwa hofu ya kukamatwa na kufungwa jela.
Kwahiyo huwafanya wazawa kuamua kuiba tu.
Jinga sana, yani mimi niamue kujilipua alafu mjinga wa bei rahisi aniibie, lazima niliue jitu hakuna namna.
Hahahahaa hawa washenzi akijaa kwenye kumi na nane unammanua kimya kimya kama ulivyofanya ndio dawa yao.
 
Back
Top Bottom