Nimempenda House Girl Wangu

Nimempenda House Girl Wangu

Na mkeo atakuja kukuambia amepata mzungu. Ngoma draw

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Weka picha ya hausigel wako, tutakusaidia.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Watu kwa kunyooshea wenzao vidole humu!!!!!!
Ifike mahali tutor boriti machoni mwetu kabla ya kuwaambia wengine kutoa vibanzi vyao. Wanaume wengi Sana wanalala na wasaidizi wao, iweje huyu awe chambo...??
Mpeni ushauri, jinsi gani aepukane na hizo dawa za kulevya ili kuinusuru ndoa yake..
 
Ndugu zangu nisaidieni, natambua ukubwa na uzito wa kusa nililolifanya
mtu mzima ashauriw anasapotiwa madhara yakitokea ndipo atajua mbichi na mbivu.kama umeamua kuacha acha na umtoe hapo nyumbani anaweza akamua mkeo ili azid kufaid yy amua mapema mapenzi ya michanganyo ndani ya ndoa ni hatari.
 
Nisaidieni wana jamvi kabla mambo hayaja haribika. Plan yangu nataka nimrudishe kwao lkn hofu yangu ni kwamba anaweza ku-react ukawa uhasama na pengine hata kumwambia mke wangu. Dhamira yangu ni kuachana nae kabisa hata kwa compansation ili kulinda heshima ya ndoa yangu


hata wa kwangu amezaa na house girl..ni miaka mingi lkn inaniuma hadi leo..kisa ni kama wewe kusafiri!!!!!yaani sina hamu na nyie wanaume nyie, ni basi tu mtu ukishaingia kwny ndoa unabaki tu kulea watoto lkn kiukweli mapenzi hakuna..

wewe muondoe hapo nyumbani kabla wife hajarudi, ila usimuondoe kwa ugomvi, we mdanganye tu kuwa na wewe na watoto wote mmeamua kumfata mama nje ya nchi na hamuwezi kumchukua yeye inabidi arudi kwao..mpe nauli mwambie aende kwao na hapo wewe tafuta dada mwingine..ukiweza mbadilishie laini ya simu na asiwe na namba zenu tena..mdanganye mwambie ukiwa nje itakuwa rahisi kuwasiliana kwa voda, km yuko tig etc..ilimradi asiwe na namba zenu na msiwe na mawasiliano nae..

akishaondoka na huku umembadilishia laini za simu mwambie mke wako kuwa fulani nimemuondoa namuona tabia yake sio nzuri ili hata yeye asimtafute tena..maana kama alikuwa dada mzuri kwa watt mama akirudi lazima atamtafuta..

halafu umwambie huyo housegirl kuwa hamtarudi mapema mtakaa muda mrefu uko nje ya nchi na kwamba hata mkirudi mtahama hapo kwenye hiyo nyumba mnayoishi, mdanganye kwamba mmenunua/mmejenga nyumba sehemu nyingine, ili hata akirudi mjini asije hapo kwenu..

ILA NIKWAMBIE UKWELI.....nimekupa ushauri tu sababu namuonea huruma mke wako, bora asijue maana ataumia sana..lakini wewe mwenyewe nakuchukia sna..hiyo ni tabia mbaya sana, kutembea na house girl..

wewe kama ni mwanume wa shoka kwa nn utembee na house girl, si utongoze huko nje? ni rahisi zaidi kuachana na mwanamke wa nje na pia hata mkeo akijua kwa mwanamke wa nje ni afadhali maumivu yake kuliko housegirl..

NI AIBU SANA..wewe hujui tu, yaani umemuaibisha sana mke wako...
 
wana jamvi, nimempenda house girl wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

nifanyeje wana jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.

ulishamtia wewe!
 
Kama dini inakuruhusu na binti anavutia, basi epuka dhambi ya uzinzi, fuata taratibu husika umuoe....tusipumbazwe na cheo cha hoause girl....

Hata wengine mama zetu walikuwa au ni housegirls...muhimu ni mwanamke na ana haki ya kuolewa pia.


acha kumshauri mwenzio upuuzi bana, yaani amuoe haousegirl mke wa pili? halafu huyo mke mkubwa anajisikiaje..kuliko kumuumiza mama wa watu machungu yasiyoisha wala kupona ni bora tu amuache na aoe huyo house girl wake..

mnaposhauri angalieni na ya kuongea si kuongea tu..hebu jiweke wewe kwenye viatu vya huyo mke wake, halafu uone ungetoa ushauri gani...mfyuuuuuu
 
mambo mengine yahitaji moyo wa chuma hata kuyashauri
Unataka usaliti ndoa yako na kutembea na house gal na bado unakuja hapa kutaka tukushauri ili ufanye hilo
Epuka mahusiano hayo na linda mahusiano yako na mkeo maana kuna mawili unaweza kufanya hilo unalotaka kufanya na akanogewa ikawa balaa kuachana nae au ukimtibua tuu ujue taarifa zinafika kwa mkeo
Tized uko wapi hebu njoo huku

Mkuu huyu mbwiga tayari kashabanjua amri ya sita na beki tatu wake sa sijui anataka ushauri wa nini?
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.



Bahati mbaya ushakwenda hatua moja mbele. Ulikwenda kupima kwa sababu gani? cheki fasta na baba paroko kabla hakijatokea chochote (kama kweli hakuna lolote lililojiri kati yenu)

The Listener
Ex Detective
 
Mkuu huyu mbwiga tayari kashabanjua amri ya sita na beki tatu wake sa sijui anataka ushauri wa nini?

Mkuu Galapagos niliandika hivyo mwanzoni nikaedit nikijua hajafanya hilo
Sasa la kumshauri ni kuwa aje tuu amweleze mkewe kuwa alipitiwa na na shetani akatembea na house gal wake naamsamehe
Wakati anaanza hizo harakati zake hakutushirikisha ila sasa kimemnogea na anavyosema kuacha hawezi anakuja kuomba ushauri

Naaaam! Niko hapa Mkuu.

Huyu jamaa tayari keshakula vilivyochachushwa anaomba namna ya kutoka kwenye mtego akiojitegea mwenyewe.

Sina maana mbaya kwa Vijakazi.. ila ukiona mwanaume mwenye akili timamu anatoka na kijakazi wake.. utimamu wa huyu mtu lazima uwe unaacha maswali mengi kuliko majibu.

Mkuu Tized hizo guts sijui watu wengine wanazipata wapi aise na unakiri kabisa nimetembea na house gal
Mtu kama huyo hata mkewe akiwa kari.bu bado atakuwa anafanya hayo hayo ya kutembea na house gal bila aibu

Ameshatoka mkuu ndo maana anasema anashindwa kuacha kila akijaribu anatamani tena
Phenomenon Lady asante sana kwa ufafanuzi maana nilisoma juu juu nikajua bado anatamani kumbe kashafanya kweli
 
Mwache mkeo muoe huyo hg. Halafu na yeye akileta hg wake naye unafanya hivyohivyo, na mwingine hivyohivyo
 
Umemvunjia heshma mkeo kutoka hg wanawake waliopo mitaan kweli umeshindwa ndoa yako iko hatarini mtoe kwa akili anaweza ht kumdhuru mkeo ilibabaki hayo mambo hayapendezi ht kdg
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
Sidhani kama kweli ujui unafanya makosa,ivi uje ujue kama mkeo anatembea na House boy wenu utamuelewa? humvunjii mkeo Heshima peke,unajuvunjia na wewe pia ivi unaanzaje kulala na mfanyakazi? Hadhi yako na heshima yako kama Baba mwenye nyumba iko wapi? utamuangalia jicho gani huyo house Girl mbele ya mkeo? samahani kama ntakua nimekukera lakini ni MBAYA SANAAA...
 
Back
Top Bottom