masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,277
Weka picha
hahahha team picha
Weka picha
mambo mengine yahitaji moyo wa chuma hata kuyashauri
Unataka usaliti ndoa yako na kutembea na house gal na bado unakuja hapa kutaka tukushauri ili ufanye hilo
Epuka mahusiano hayo na linda mahusiano yako na mkeo maana kuna mawili unaweza kufanya hilo unalotaka kufanya na akanogewa ikawa balaa kuachana nae au ukimtibua tuu ujue taarifa zinafika kwa mkeo
Tized uko wapi hebu njoo huku
Kwani si imenenwa mtu wa jinsi hii huwa hana akili hata kidogo so huyu ndugu hatuna cha kumsaidia . Hii inaonyesha kuwa hafai kuishi na binti asiye mwanae sababu hawezi kuusomesha moyo wake. Unajua si kila kinachpendeza machoni chafaa kuliwa vingine sumu.Naaaam! Niko hapa Mkuu.
Huyu jamaa tayari keshakula vikivyochachushwa anaomba namba ya kutoka kwenye mtego akiojitegea mwenyewe.
Sina maana mbaya.. ila ukiona mwanaume mwenye akili timamu anatoka na kijakazi wake.. utimamu wa huyu mtu lazima uwe unaacha maswali mengi kuliko majibu.
Nina watoto wawili, miaka 12 kwa 9. Mke wangu anasoma UK
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.
Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam
Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
mshahara wa dhambi ni mauti!
Ndugu zangu nisaidieni, natambua ukubwa na uzito wa kusa nililolifanya
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.
Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam
Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.
Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam
Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
kwanza, hivi kilichokufanya ukapime naye ni nini....???? We utakuwa ushamgegeda weye...
Ongea na mkeo mshauriane...
Mh! Babake hapo huchomoki!
Penzi la house girl ni sawa cocaine, ukianza kuitumia huiachi kirahisi.. Muulize ray c!
Tena wanavyo jitoa kwa moyo wao wote, hauchomoki hapo!
Nakushauri tu umuoe awe nkeo wa pili, haina haja ya kumuacha kwa sababu na yeye ni mwanamke kama alivyo mkeo!
They all share common things like...... Yes!!