wana jamvi, nimempenda house girl wangu.
Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam
nifanyeje wana jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
Ndugu zangu nisaidieni, natambua ukubwa na uzito wa kusa nililolifanya
Have you stopped to think about the wife and kids?Kula tu baba umlishe wewe, umvalishe wewe, umlaze wewe, umpime wewe wale wengine?
no please kula tu mpe na mimba kabisa
Have you stopped to think about the wife and kids?
Are you thinking as a woman??
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.
Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam
Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
Nilitaka nishangae.Hata sijapoteza muda kuwaza hayo
hujui tu nilivochefukwa, I hate mibaba ya type hii natamani hata kukata hiyo dushe yake.
Nilitaka nishangae.
Nina watoto wawili, miaka 12 kwa 9. Mke wangu anasoma UK