mtongoze akikubali kwa ridhaa yake mgegede ila akikataa tafadhali endelea kumjali na kumthamini usije jiwekea visa naye. NB akikubali akili kimkichwa maana tayari utakuwa umefungulia mlango wa migogoro ya ndoa yako ambayo madhara yake ni makubwa sana
atawala kubaya.Ha ha ha take me as I am
Na mtu wa namna hii ukimleta mdogo ako, sijui mtoto wa marehemu nani...uishi nao lazma atawala
Nimeshindwa kuachana nae. Kila nikisema naacha, kisha natamani tena
Ngoma DRAW,wife nae anamegwa huko aliko..
Weka picha ya mkeo na huyo house girl na cv zao nikuambie kitu
Mkuu siku hizi kuna thread za ajabu ajabu, sijui ni kuanzisha ili kupima uwezo wa kufikiri wa watu au, kadiri muda unavyokwenda(miaka) uwezo wa kufikiri wa watu unapungua!
Labda angetusaidia, kwanini alienda kupima kwanza!
mambo mengine yahitaji moyo wa chuma hata kuyashauri
Unataka usaliti ndoa yako na kutembea na house gal na bado unakuja hapa kutaka tukushauri ili ufanye hilo
Epuka mahusiano hayo na linda mahusiano yako na mkeo maana kuna mawili unaweza kufanya hilo unalotaka kufanya na akanogewa ikawa balaa kuachana nae au ukimtibua tuu ujue taarifa zinafika kwa mkeo
Tized uko wapi hebu njoo huku
Nina watoto wawili, miaka 12 kwa 9. Mke wangu anasoma UK
huyu mbona alisha tafuna sasa anaomba ushauri wa kuacha!!mambo mengine yahitaji moyo wa chuma hata kuyashauri