tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Sasa hapo unashindwa kuamua vipi??
Mwenye maamuzi ni wewe,unamtamani msaidizi wako sisi tukusaidie vipi??Vishinde vishawishi,Think about your wife and your kids.Je wewe ungependa mkeo akufanyie hicho ulichomfanyia??
Tafakari Chukua Hatua Epuka Michepuko.