Nimempenda House Girl Wangu

Nimempenda House Girl Wangu

Kajifunze kwa wadudu wewe mzembe, wanaheshimu wapenzi wao hadi kufa leo hii unatuuliza either usaliti ndoa ako au la..!
Mi nakushauri okoka na uombe sana tamaa itaisha tu,pole lkn....!!
 
Nina watoto wawili, miaka 12 kwa 9. Mke wangu anasoma UK

Aisee, huko UK wapopo aka wanigeria wanamtunza....kule kuna happy sana....na club c anaenda basi ndio huko wanapiga.
We unasubiri nini.....pigaaaa....kwani housegal c mwanamke.....pigaaaa...!!
Sasa ukiwa mtamu sana itakuwa sumu....ukiona mtam sana mfukuze mapema😆

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
sABABU YA KUFANYA HIVYO NI COZ MKEO YUKO MBALI AU MBAYA WA SURA AU TABIA AU UMEMKINAI MKEO AU KWA KUWA AMEZAA AU SABABU NINI
 
Mie mwenyewe nimechepuka nika piga kimoja kwa house girl wakati wife kalala na kile kimvua dahhh ilikua tamu
 
Umeshindwa kutoka wapi???

Ndio hapo sasa...muulize vizuri mana hasomeki kabisa. Anaomba ruhusa kwa nani wakati yeye ndio anayekaa na huyo house girl? Halafu mpaka ulale na House Girl lazima kuna kitu hakiko sawasawa.
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.

Aisee we jamaa unatisha, yani hata kutumia condom hukutaka ukaona umpime kabisa, aisee!!!!!! Usiogope hata yeye huko aliko anaomba ushauri kama wewe tu namna ya kumuacha huyo aliyenae huko ka-fall pia.
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.

Umepima na nani, huyo house gel? Lengo la kupima ni nn mkuu? Unatugeresha tu hapa ww.
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.

House girl ni wako au ni wenu?
 
acha kumshauri mwenzio upuuzi bana, yaani amuoe haousegirl mke wa pili? halafu huyo mke mkubwa anajisikiaje..kuliko kumuumiza mama wa watu machungu yasiyoisha wala kupona ni bora tu amuache na aoe huyo house girl wake..

mnaposhauri angalieni na ya kuongea si kuongea tu..hebu jiweke wewe kwenye viatu vya huyo mke wake, halafu uone ungetoa ushauri gani...mfyuuuuuu

Kwa hiyo hapo tatizo kwa bibie kuwa housegirl ?

Ndio maana nimetanguliza maelezo kuwa kama dini yao inamruhusu, kama wanaruhusiwa basi ni wazi kuwa huyo mkewe pia anaijua vema dini yake, au unataka kumshauri amnyanyapae mwezake kwa kuwa tu ni housegirl ?

Kwa ulivyoandika ni kama unamuhukumu zaidi mwanadada na kazi yake (unamnyanyapaa)...ni kheri ungebaki na kumlaani jamaa kwa tamaa zake na si kumnyanyapaa bibie.
 
Back
Top Bottom