Umeanza vizuriiii ila ulivyomalizia!!Lets take lesson from this story...
*unaeza kaa na mtu miaka mingi na usimuelewe inside..
*Kubadilika ni jambo la muda mfupi sana.. halina uhusiano na wingi wa muda mliotumia pamoja kabla..
*Kuna watu wapo kwenye mahusiano lkn hawajui kama walipo ni sehem sahihi kwao, hawajui wana elekea wapi..
*Uchumba, kutambulishana, early goodtimes mnazo kua nazo hazitoshi kukupa picha kamili pindi mtapo anza maisha halisi ya ndoa.. kuna utofaut mkubwa sana
*MWISHO NI KUA KUNA WANAWAKE KWAKWEL NI PASUA KICHWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili zito siku zote Unakula Kuku na mayai yake ila naona leo Yai linataka kula kuku.
We jipenyeze kwa baba tu...Baba anapesa na ni good looking kuliko mtoto.
Tehteh kuna namnaAnaharibikiwaje kwa baba? Utu uzima dawa.
Utafata wewe kufa bintHabari za J5 wapendwa
Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.
Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.
Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
Haha vipi nipe report za kuleNamii najiula apa sijambo jepesi hawajui tu wanaweza kumhamisha mtu nchi.
Nakushauri na wewe utafute kabinti ka 18 au 19 muende sawa.Tehteh kuna namna
Koh unasemaje sasa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ewalaaaa!Jamani yote maisha, labda nilimfahamu mtoto ili nije kumuona baba yake.
Spendi kuambiwa baby karibu lunch ndiyo tumepanga foleni hapa.Nakushauri na wewe utafute kabinti ka 18 au 19 muende sawa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Spendi kuambiwa baby karibu lunch ndiyo tumepanga foleni hapa.
Nataka kuambiwa baba clareee hivi hivi zile pesa unarusha au la!
Asante tu bhana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pole sana.
Mmmhloh jiweke kwa baba ! kijana atafute kijana mwenzake huko.