Nimempa mpenzi wangu laki moja ya kununua simu, kakasirika na kususa

Tuma hata picha ya huyo mpnz wako.
Ili tuwezekujuwa kama pesa zako zinakwenda kihalali au umepigwa na kitu chenye incha kali shingoni.
 
Sijawahi toa hiyo hela kwa mwanamke yani akaitumie peke ake aah weeeee

kama nikitoa akanunue simu namimi niweke laini yangu hiyo simu iwe double line,lain yake 1 na yangu 1

eti 100,000 yote atumie peke ake,sio kwa akili zangu hzi labda awe amenitengeneza kigoma,halafu ndio asusee

Ukisikia kurudi kanisani kwenda kutoa shukrani ya pekeee kwa matendo makubwa Mungu amenitendea,j2 ningeenda tena misa ya kwanza.
 
Huyo sio mke mkuu,maana Hana ustaarabu Wala utu. Angekua anaejielewa angeshukuru hata kwa ulichompa. Kwanza am sure hyo pesa hakukopa kwa mama Ni yake
 
Dah imenitia hasira sana,,, Ujue kwa kipato cha kawaida cha watanzania 89% ,, Laki Moja ni hela mtu ameingiza kwa siku tatu(Profit),, (haijalishi muajiriwa au amejiajiri).

Sasa ukimpa mtu 100,000 maana yake ni kwamba umeamka siku tatu zote na kwenda kumtafutia huyo mtu... Na ukizingatia muda huwa haurudi nyuma... Halafu tena unampa aikataa kwa kejeli na majungu..

I swear,, Mkuu una kila sababu ya kuweka vikwazo vya kiuchumi....

Yaaaani..

Au basi
 
Na hiki ndio kitu mleta uzi hajakitambua.
Mwanamke asipokua na upendo wa kweli huwa anashindwa kujizuia kukufanyia uovu. Sio kwamba huyo dada hajui kwamba anachofanya sio sahihi Ila tu Ni kwasababu hampendi mleta mada so anaona liwalo na liwe.

Yupo mtu ambae yeye anampenda toka moyoni na anamheshimu kwa dhati kabisa hata asipompa pesa bado atamvumilia
 
mbebembeleze wewe kopa hata kwa mshikaji ifike hyo jiwe mbili mpe alafu baada ya muda kidogo utamfumania na njemba ingine unakuja hapa unaanzisha uzi kichwa cha uzi unaandika NIMEPIGWA NA KITU KIZITO.....mtu anakataa hela badala ushangilie wewe unambembeleza
 
Sijawahi toa hiyo hela kwa mwanamke yani akaitumie peke ake aah weeeee

kama nikitoa akanunue simu namimi niweke laini yangu hiyo simu iwe double line,lain yake 1 na yangu 1

eti 100,000 yote atumie peke ake,sio kwa akili zangu hzi labda awe amenitengeneza kigoma,halafu ndio asusee

Ukisikia kurudi kanisani kwenda kutoa shukrani ya pekeee kwa matendo makubwa Mungu amenitendea,j2 ningeenda tena misa ya kwanza.

Wanaume wa JF bahili jamani!!

Nasoma comments mbavu sina daah mtoa mada hebu tafuta hela umpe dada wa watu kwanini ulimuhaidi na huna uwezo
 
Yaani unamaanisha mama yake aliyemzaa amemkopesha Hela ya kununulia simu Ili wewe uje ulipe,na umelipa amekataa?
Usimpige chini wala usimpe Tena hiyo Hela akiuliza mwambie imetumika na Sina ramani nyingine ,na usiahidi Hela nyingine ataamua kukaa ama kusepa
Yes hata mimi nliwaz ivo ... kwanza kumbembeleza kwa pesa ulizo tolea jasho ni dalili mbaya sana dharau
 
Chukua huu ushauri. Mamako atakushukuru na kukuombea sana ufanikiwe tena na tena. Na machozi ya furaha juu...na kweli utabarikiwa sana na mfuko wako hautapungukiwa.

Ila najua hiyo hela utairudisha tu kwa huyo mdangaji - hasa kama ni pisi kali. Wanaume sisi yaani basi tu
Wanaume hatueleweki...utakuta atambembeleza na kumuongezea
 
Wanaume wa JF bahili jamani!!

Nasoma comments mbavu sina daah mtoa mada hebu tafuta hela umpe dada wa watu kwanini ulimuhaidi na huna uwezo

Kasema alipata imejensi ile laki nyingine aliyoahidi ikapotelea huko kabakiwa na hii moja iliyokataliwa

JF haichoshi wallahi!
 
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena.

Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
Tupa chini kimeo hicho utakuwa unatafta kwa ajili ya kutimiza mambo yake itakucost sana
 
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena.

Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
Chukua hiyo hela mtumie mdgo wako aache kuteseka hivyo
 
Back
Top Bottom