Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Huyu hapa nae kipindi hiki ndo kawa msumbufu kuliko kawaida! kila sekunde akiniona anataka niwe nae tu, muda wote anataka niwe namnunulia vitu vichachuchachu na kumbeba! Nitafanya nini mimi! yaani nikimuona tu naona tabu, simpendi kabisa! kusema ukweli nampenda sana mwanamke wangu wa zamani. Ila kwa hapa nilipofikia nashindwa hata kuelewa nianzie wapi na nimalizie wapi huyu mwanamke nimfanyeje anikimbie mazima? anione kama takataka? naamini hiyo ndo itakuwa salama yangu.

Nawasilisha
Secret atar..

Hapo kwenye BOLD umemaliza kila kitu. Huyo keshakuwa wazamani endelea na mpya ndo mke wa maisha yako.
 
Habari wanajamvi, nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia Chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina Mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa takriban miaka mitano sasa!, yupo Chuo na Mwezi wa sita 4th atakuwa hapa TZ!. Sasa kama mnavyojua tena sisi wanaume tukikaa muda mrefu tunapatwa na Ugwadu! kitu nilichoona ni kigumu. Nilivumilia karibu miaka miwili ila uzalendo ukanishinda nikaona walao nitafute mahala niwe hata napiga mswaki, ili kutuliza mihemko.
Safari hiyo katika kutafuta mahali pa kupunguzia mihemko nilimpata dada fulani, ambapo kabla ya yote nilimuweka wazi kuwa nina mtu wangu hivyo asije akaja kufikiri kuwa mimi nitakuja kumuoa au kuwa na uhusiano nae wa kudumu. pia nikamshauri afuate njia za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotarajiwa. Akakubali na kuniahidi kufuata niliyomuambia. Tukaanza kugegedana kwa speed kali sana nikamgegeda katika hali ya juu! kwa upande wangu nilikuwa nafikiri mwenzangu anafuata ushauri nilokuwa nimempa mwanzo., Kumbe alikuwa mwongo Ikafikia kipindi Tukiwa tunasex, kakaa au yupo nje, akawa anatapika hovyo! Duh machale yakaanza kunicheza nikamuuliza "vipi mbona sikuelewi" Akadai ana mimba ya Miezi miwili! Nikashangaa mno nikamuuliza "kwani si ulisema unatumia dawa" akasema Nilitumia nikaacha! Nikamwambia kama unataka amani na mimi toa hiyo Mimba haraka sana, akakataa katakata!.
Basi nimekuwa na wakati mgumu mno, Nimekuwa kama kinda la njiwa!, Mchumba kila saa ananipigia simu huku akidai amenimiss mno Mwezi wa sita ilikuwa aje tufunge ndoa!
Huyu hapa nae kipindi hiki ndo kawa msumbufu kuliko kawaida! kila sekunde akiniona anataka niwe nae tu, muda wote anataka niwe namnunulia vitu vichachuchachu na kumbeba! Nitafanya nini mimi! yaani nikimuona tu naona tabu, simpendi kabisa! kusema ukweli nampenda sana mwanamke wangu wa zamani. Ila kwa hapa nilipofikia nashindwa hata kuelewa nianzie wapi na nimalizie wapi huyu mwanamke nimfanyeje anikimbie mazima? anione kama takataka? naamini hiyo ndo itakuwa salama yangu.

Nawasilisha
Secret atar..

NANI KAKWAMBIA CONTROL YA KUPATA AU KUZUIA MIMBA NI JUKUMU LA MWANAMKE? HIVI KWELI KARNE HII UTAMWAMBIA MWANAMKE HIVYO TU ITOSHE, USIFUATILIYE?
 
Acha bhangi za mchana wewe haiwezekanj kabisa! bora niwaache wote tu!
Hakuna bangi za mchana wa usiku hapo mkuu, hivi ulipokuwa unapiga kavu kavu ulitegemea nini? Wewe unaiamini akili ya mwanamke? Labda ikiwa umekula ndumu za milima ya uluguru.

Uamuzi ni wako kuchagua, lakini mimi ndo ningekuwa wewe ningemwambia NILISHAKWAMBIA MIMI NINA MCHUMBA NA SIWEZI KUKUOA NA SIWEZI BADILI MSIMAMO. Halafu hama eneo hilo endelea kumtunza kwaajili ya mtoto wako. Inabidi atambue sasa hivi kuhusu msimamo wako.
 
Sawa sawa best
 
NANI KAKWAMBIA CONTROL YA KUPATA AU KUZUIA MIMBA NI JUKUMU LA MWANAMKE? HIVI KWELI KARNE HII UTAMWAMBIA MWANAMKE HIVYO TU ITOSHE, USIFUATILIYE?
Kila jambo hadi ujifunze, Nimeshajifunza sasa
 
Kila jambo hadi ujifunze, Nimeshajifunza sasa

Kila kitu nikufuatiliya KAKA, especially kinapokuwa na possibility ya kukukwamisha, usimzuru au kumshawishi huyo Dada atoe mimba, akija mchumba tu kuwa mkweli, ila kwa sasa uache hayo mahusiano kabisa. June si mbali!
 
Nashukuru sana ushauri mzuri Mungu akubariki
 
Yaan staki kuja kusikia hizi taarifa maana itakuwa mwisho kumpenda mwanaume mweusi
 
Huwa nawaambia hivi dada zangu mwanaume anaekupa mimba kisha baadae anakushauri uitoe huyo ni zaidi ya shetani.

Na akikupa hela ya kutolea hiyo mimba wewe ipokee tu kisha nenda kanunue sumu uje umuwekee kwenye chakula anachokipenda.
 
Umenifumbu macho sikujua kama mwanaume anamimba alafu anampa mimba mwanamke nkajua yeye anatoa mbegu kumbe mimba kabisa
 
Matako yko condom ulfchaga WAP mpk kufkia hali nakuhifadhi box LA kondom ndani? Ulkua unamgonga bila condms c ulzamlia we ushayakoroga ynywe
 
Hapo ukimfanyia ukauzu anakuendea Sumbawanga alafu huo mshedede unatoweka panabakia plain hapo anakua amekuhurumia vinginevyo anakutumia radi anakumaliza kabisaaa.
 
Back
Top Bottom