Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

sasa umemfanya dada wa watu weee leo humpendi..watch it!

Utapata mabalaa ukimuacha
 
Ulipo sema atoe mimba ndio nika kuona pompompo kabsaa. Yaan atoe mimba kwa kuwa tu we demu wako anarudi mwez wa 6.
Daaah!!
Hata ushauri sitoi sasa kwa hasira
Hajui dhamani ya mtoto
 
Pumb..avuu kabisa!kwani ulivyoanza huo upuuz ulikuja kutuomba ushauri?nyie ndo huwa mnarogwa hivi hivi!eti humpend kabisaa!!dada komaa na huyu pimbi mpaka akuoe,we mimba yako ingetolewa ungekuwa hapa?bashite baridi wee!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Bora hata ningetolewa nisingekuwa napata mabalaa haya ninayoyapata mzee
Huna shukrani wewe kiumbe. Mungu akikusikiliza akakuchukua ili usipate tabu au hayo mabalaa ya hapa duniani waambie nduguzo wasilie wakuzike kama kafa paka. Maana haujui wala kuthamini uhai wa binadamu. Mimi nakuombea usamehewe tu.
 
mshahara wa dhambi ni mauti,asitoe mimba mkuu,miaka mitano ukae tu,mimi naona wewe umefanya jambo sahihi na huyo alobeba mimba amefanya jambo makini,hongera kwa kuwa baba mtarajiwa mkuu...jitahidi umpende huyo mama kijacho..
 
We jamaa muuaji, mimi sina cha kukushauri. Jiulize ulichomfanyia huyo binti ingekuwa baba yako ndo alimfanyia mama yako ingekuwaje
 
Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu eh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake, mlete nitamlea usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake [emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
We jamaa muuaji, mimi sina cha kukushauri. Jiulize ulichomfanyia huyo binti ingekuwa baba yako ndo alimfanyia mama yako ingekuwaje
Mi naona sawa tuu ingekuwa ndo bahati yangu
 
Back
Top Bottom