Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

kwanza Hongera kwa kuwa Baba mtarajiwa pili mwambie mchumba wako ukweli na umwombe msamaha.hakuna short cut katika maisha
Maisha yetu ni matokeo ya matendo yetu... so komaa jiandae kumlea mtoto
 
Rais alisema ukikaa Dar hadi mwezi wa sita utakuwa mwanaume.

Tafakari
 
Ivi kwanini Baadhi ya wanaume pamoja na mleta Uzi mnapenda kulaumu mwanamke wakati wa mimba? unamwambia uhesabu tarehe sijui masaa mara siku why all that? wakati wewe mwenyewe ulikua unaisikilizia utamu na mlio wake huku hesabu risk? kama kweli ulikua na nia yakua mwaminifu kwa mpenzi wako unge tumia kinga full stop, be a man kumbuka hicho nikiumbe chako unajua kama huyo ndio mtoto wa mwisho? mlee tuu....
 
Kutoa mimba ni kosa la jinai. Hata kushawishi tu!
 
Habari wanajamvi,

Nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa takribani miaka mitano sasa, yupo chuo na Mwezi wa sita 4th atakuwa hapa TZ.

Sasa kama mnavyojua tena sisi wanaume tukikaa muda mrefu tunapatwa na Ugwadu! Kitu nilichoona ni kigumu. Nilivumilia karibu miaka miwili ila uzalendo ukanishinda nikaona walao nitafute mahala niwe hata napiga mswaki, ili kutuliza mihemko.

Safari hiyo katika kutafuta mahali pa kupunguzia mihemko nilimpata dada fulani, ambapo kabla ya yote nilimuweka wazi kuwa nina mtu wangu hivyo asije akaja kufikiri kuwa mimi nitakuja kumuoa au kuwa na uhusiano nae wa kudumu.

Pia nikamshauri afuate njia za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotarajiwa. Akakubali na kuniahidi kufuata niliyomuambia. Tukaanza kugegedana kwa speed kali sana nikamgegeda katika hali ya juu! Kwa upande wangu nilikuwa nafikiri mwenzangu anafuata ushauri nilokuwa nimempa mwanzo, kumbe alikuwa mwongo ikafikia kipindi tukiwa tunasex, kakaa au yupo nje, akawa anatapika hovyo! Duh machale yakaanza kunicheza nikamuuliza "vipi mbona sikuelewi" akadai ana mimba ya Miezi miwili!

Nikashangaa mno nikamuuliza "kwani si ulisema unatumia dawa" akasema nilitumia nikaacha! Nikamwambia kama unataka amani na mimi toa hiyo mimba haraka sana, akakataa katakata. Basi nimekuwa na wakati mgumu mno, nimekuwa kama kinda la njiwa, mchumba kila saa ananipigia simu huku akidai amenimiss mno Mwezi wa sita ilikuwa aje tufunge ndoa! Huyu hapa nae kipindi hiki ndo kawa msumbufu kuliko kawaida! kila sekunde akiniona anataka niwe nae tu, muda wote anataka niwe namnunulia vitu vichachuchachu na kumbeba.

Nitafanya nini mimi! Yaani nikimuona tu naona tabu, simpendi kabisa! Kusema ukweli nampenda sana mwanamke wangu wa zamani. Ila kwa hapa nilipofikia nashindwa hata kuelewa nianzie wapi na nimalizie wapi huyu mwanamke nimfanyeje anikimbie mazima? Anione kama takataka? Naamini hiyo ndo itakuwa salama yangu.

Nawasilisha
Secret atar..

Ulihisi una uhuru wa kugagadua. Nasema hivi not to that extent.
 
Huyo dada ahamie kabisa Kwako, ili mlee vizuri mimba yenu
Tena kwa ushirikiano mkubwa , bila kubaguana wala kunyanyapaana

NB: (stigmatization is strictly prohibited during pregnancy & maternity period)....ova.
 
Bhnae Dogo acha mambo mgando MTT hakataliwi wala hawawi,mlelee tu hata unaemfikiria huenda nae sie mwaminifu kuwa karibu na mkeo ,mama wa MTT wako MTT aje afuraie kumwona baba na mama pamoja kitanda kimoja
 
Back
Top Bottom