Pole sana jombaaa
1) kondom mia tano tu pole
2) tamaa imekuponza pole
3) naomba asiitoe hyo mimba pole
4)uaminifu miaka mitano tu umekushinda na ulishakata miwili kwel pole sana
5)hukusema hata mlipima we eti kwa kujisifia ulimgegeda kwa kiwango cha juu daaah mwanaume hasifiagi kugegeda ila mwanamke ndio wanatusifiaga wenyewe
6)Sasa unaomba ushauri je upo tayar kuua kiumbe kwa tamaa zako za muda mfupi??
7)Mwambie huyu alieko nje kua ulimgegeda demu mwngine kwa kiwang cha juu bila kondom na akapata mimba
8)wasio waaminifu ktk mahusiano hua hawawez kuvumilia,sasa angalia ulivyoumbuka mtoto wa watu,uso umekushukaa pwaaa,hata kula unakula kwa tabu tu,mawazo yamekujaa,huna raha,uanaume wako umeporomoka mpka unakimbilia jf kuomba msaada,,,leo unataka atoe mimba kwan unaibeba wewe??
Kwa vile ulionyesha ukidume wa kugegeda kwa kiwango cha juu,sasa tumia akili ya kiwango cha juu kuumaliza huo msala wako,,si tupo busy tunasikiliza nyimbo ya ney wa mitego