Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Naona watu wanajibu kwa kukebehi na matusi wakati wengine ni kama wahusika.

Kuna wanaume wengi humu tuliozaa na wadada kwa staili hii.
Mkeo au mchumba anakuwa mbali unajiegesha mahali na mimba napata.

Kuna wadada wengi wamezalishwa kwa mfumo huu wa kumshikia mtu penzi ambaye yuko mbali.
Wamepata mimba na wengine ni single mazä.
kuna wengine wameoana Baada ya mimba za mfumo huu kutokea. Hili nina ushahidi nalo.

Watu tuache unafiki na kujifanya watakatifu wakati ni watakavitu!!!

Dogo, huyo mwanamke unahitaji kuongea naye na kumuahidi kumtunza na mtoto wake.
Mchumba wako akija Una nafasi ya kumueleza ukweli.
Vinginevyo, oa huyo mwenye mimba.
iliponitokea nilimpa black and white kuwa sikuoi na ukinizingua nakupotezea wewe na mwanao.

Mpaka leo ana heshima kwani I fund for everything mtoto anahitaji
 
Habari wanajamvi,

Nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa takribani miaka mitano sasa, yupo chuo na Mwezi wa sita 4th atakuwa hapa TZ.

Sasa kama mnavyojua tena sisi wanaume tukikaa muda mrefu tunapatwa na Ugwadu! Kitu nilichoona ni kigumu. Nilivumilia karibu miaka miwili ila uzalendo ukanishinda nikaona walao nitafute mahala niwe hata napiga mswaki, ili kutuliza mihemko.

Safari hiyo katika kutafuta mahali pa kupunguzia mihemko nilimpata dada fulani, ambapo kabla ya yote nilimuweka wazi kuwa nina mtu wangu hivyo asije akaja kufikiri kuwa mimi nitakuja kumuoa au kuwa na uhusiano nae wa kudumu.

Pia nikamshauri afuate njia za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotarajiwa. Akakubali na kuniahidi kufuata niliyomuambia. Tukaanza kugegedana kwa speed kali sana nikamgegeda katika hali ya juu! Kwa upande wangu nilikuwa nafikiri mwenzangu anafuata ushauri nilokuwa nimempa mwanzo, kumbe alikuwa mwongo ikafikia kipindi tukiwa tunasex, kakaa au yupo nje, akawa anatapika hovyo! Duh machale yakaanza kunicheza nikamuuliza "vipi mbona sikuelewi" akadai ana mimba ya Miezi miwili!

Nikashangaa mno nikamuuliza "kwani si ulisema unatumia dawa" akasema nilitumia nikaacha! Nikamwambia kama unataka amani na mimi toa hiyo mimba haraka sana, akakataa katakata. Basi nimekuwa na wakati mgumu mno, nimekuwa kama kinda la njiwa, mchumba kila saa ananipigia simu huku akidai amenimiss mno Mwezi wa sita ilikuwa aje tufunge ndoa! Huyu hapa nae kipindi hiki ndo kawa msumbufu kuliko kawaida! kila sekunde akiniona anataka niwe nae tu, muda wote anataka niwe namnunulia vitu vichachuchachu na kumbeba.

Nitafanya nini mimi! Yaani nikimuona tu naona tabu, simpendi kabisa! Kusema ukweli nampenda sana mwanamke wangu wa zamani. Ila kwa hapa nilipofikia nashindwa hata kuelewa nianzie wapi na nimalizie wapi huyu mwanamke nimfanyeje anikimbie mazima? Anione kama takataka? Naamini hiyo ndo itakuwa salama yangu.

Nawasilisha
Secret atar..

Anajuwa unapofanya kazi? Anawafahamu ndugu zako? Anakujua nyumbani kwenu? Marafiki je?
 
kwani ulivyoanza huo upuuz ulikuja kutuomba ushauri?nyie ndo huwa mnarogwa hivi hivi!eti humpend kabisaa!!dada komaa na huyu pimbi mpaka akuoe,we mimba yako ingetolewa ungekuwa hapa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amuuwe mtotokisa sjui unamwanamke unae mpenda Mungu endapo huyukijana akasubutu kuchangia kuuwa kichanga ulichokileta naomba umwashie moto Amina
 
Ndo nyie nyie tena, utakuta mnawaponda single mothers,,

Binadam aiseee!!
 
Dawa rahisi ni kuachana naye tu.
Usiseme huwezi, suala ni kuamua.
Kwa kuanzia tu, kata kabisa mawasiliano naye, hakuna kumpa hata senti kumi.
 
IDIOT
IMG_20190914_201511.jpeg
 
Habari wanajamvi,

Nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa takribani miaka mitano sasa, yupo chuo na Mwezi wa sita 4th atakuwa hapa TZ.

Sasa kama mnavyojua tena sisi wanaume tukikaa muda mrefu tunapatwa na Ugwadu! Kitu nilichoona ni kigumu. Nilivumilia karibu miaka miwili ila uzalendo ukanishinda nikaona walao nitafute mahala niwe hata napiga mswaki, ili kutuliza mihemko.

Safari hiyo katika kutafuta mahali pa kupunguzia mihemko nilimpata dada fulani, ambapo kabla ya yote nilimuweka wazi kuwa nina mtu wangu hivyo asije akaja kufikiri kuwa mimi nitakuja kumuoa au kuwa na uhusiano nae wa kudumu.

Pia nikamshauri afuate njia za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotarajiwa. Akakubali na kuniahidi kufuata niliyomuambia. Tukaanza kugegedana kwa speed kali sana nikamgegeda katika hali ya juu! Kwa upande wangu nilikuwa nafikiri mwenzangu anafuata ushauri nilokuwa nimempa mwanzo, kumbe alikuwa mwongo ikafikia kipindi tukiwa tunasex, kakaa au yupo nje, akawa anatapika hovyo! Duh machale yakaanza kunicheza nikamuuliza "vipi mbona sikuelewi" akadai ana mimba ya Miezi miwili!

Nikashangaa mno nikamuuliza "kwani si ulisema unatumia dawa" akasema nilitumia nikaacha! Nikamwambia kama unataka amani na mimi toa hiyo mimba haraka sana, akakataa katakata. Basi nimekuwa na wakati mgumu mno, nimekuwa kama kinda la njiwa, mchumba kila saa ananipigia simu huku akidai amenimiss mno Mwezi wa sita ilikuwa aje tufunge ndoa! Huyu hapa nae kipindi hiki ndo kawa msumbufu kuliko kawaida! kila sekunde akiniona anataka niwe nae tu, muda wote anataka niwe namnunulia vitu vichachuchachu na kumbeba.

Nitafanya nini mimi! Yaani nikimuona tu naona tabu, simpendi kabisa! Kusema ukweli nampenda sana mwanamke wangu wa zamani. Ila kwa hapa nilipofikia nashindwa hata kuelewa nianzie wapi na nimalizie wapi huyu mwanamke nimfanyeje anikimbie mazima? Anione kama takataka? Naamini hiyo ndo itakuwa salama yangu.

Nawasilisha
Secret atar..

Huyo ni Mkeo na Mtoto atakae zaliwa pia ni wenu kaa mlee Mimba hayo ndio matunda ya Kufanya Ngono zembe!
 
Oyaa mwanaume hakimbiagi mitikisotikiso komaa kiume mwisho wa cku jawabu litajileta lenyewe so vumilia wenda huyo mtoto atakuwa baba mkubwa aendeshe nchi vizur so asitoe
 
Habari wanajamvi,

Nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa takribani miaka mitano sasa, yupo chuo na Mwezi wa sita 4th atakuwa hapa TZ.

Sasa kama mnavyojua tena sisi wanaume tukikaa muda mrefu tunapatwa na Ugwadu! Kitu nilichoona ni kigumu. Nilivumilia karibu miaka miwili ila uzalendo ukanishinda nikaona walao nitafute mahala niwe hata napiga mswaki, ili kutuliza mihemko.

Safari hiyo katika kutafuta mahali pa kupunguzia mihemko nilimpata dada fulani, ambapo kabla ya yote nilimuweka wazi kuwa nina mtu wangu hivyo asije akaja kufikiri kuwa mimi nitakuja kumuoa au kuwa na uhusiano nae wa kudumu.

Pia nikamshauri afuate njia za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotarajiwa. Akakubali na kuniahidi kufuata niliyomuambia. Tukaanza kugegedana kwa speed kali sana nikamgegeda katika hali ya juu! Kwa upande wangu nilikuwa nafikiri mwenzangu anafuata ushauri nilokuwa nimempa mwanzo, kumbe alikuwa mwongo ikafikia kipindi tukiwa tunasex, kakaa au yupo nje, akawa anatapika hovyo! Duh machale yakaanza kunicheza nikamuuliza "vipi mbona sikuelewi" akadai ana mimba ya Miezi miwili!

Nikashangaa mno nikamuuliza "kwani si ulisema unatumia dawa" akasema nilitumia nikaacha! Nikamwambia kama unataka amani na mimi toa hiyo mimba haraka sana, akakataa katakata. Basi nimekuwa na wakati mgumu mno, nimekuwa kama kinda la njiwa, mchumba kila saa ananipigia simu huku akidai amenimiss mno Mwezi wa sita ilikuwa aje tufunge ndoa! Huyu hapa nae kipindi hiki ndo kawa msumbufu kuliko kawaida! kila sekunde akiniona anataka niwe nae tu, muda wote anataka niwe namnunulia vitu vichachuchachu na kumbeba.

Nitafanya nini mimi! Yaani nikimuona tu naona tabu, simpendi kabisa! Kusema ukweli nampenda sana mwanamke wangu wa zamani. Ila kwa hapa nilipofikia nashindwa hata kuelewa nianzie wapi na nimalizie wapi huyu mwanamke nimfanyeje anikimbie mazima? Anione kama takataka? Naamini hiyo ndo itakuwa salama yangu.

Nawasilisha
Secret atar..
Action=Reaction
Cause=Consequences
 
Back
Top Bottom