Nimempa makavu mpenzi wangu

Ndio maana nikashauri hapo kuwa wanawake nao wajifunze kupambana, wafanye kazi sana ili kusaidia mnaodate kutokumpa kijana wake majukumu mazito kwasababu ni kweli kuwa si majukumu yake hasa mkiwa wapenzi tu wa kawaida.

Considered age, considered kipato cha mhusika ukimtwisha majukumu kiasi hiko hatasonga.

Mapenzi ni mapenzi kaka, ndio maana sisi tunavaki kushauri kuhusu chakufanya mhusika mwenyewe ndio anakijua.
 
Nawashauri vijana waende na Chaputa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf maskini peke yangu aiseee!!
Hekaheka inaanza mtu akileta uzi wa kuliwa pesa ndio ninapoona maboss na matajiri wa michongo wanaibuka [emoji12]
Ur not alone na mm ni kapuku tena wa kutupwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ukihongwa na matajiri huko usinisahau ka laki ka faster basi
 
Ur not alone na mm ni kapuku tena wa kutupwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukihongwa na matajiri huko usinisahau ka laki ka faster basi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe boss lady bana mpk nauli ya flight ulitaka kumtumia mzee aliyegoma kuzeeka ERoni
Me ndo choka mbaya hapa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe boss lady bana mpk nauli ya flight ulitaka kumtumia mzee aliyegoma kuzeeka ERoni
Me ndo choka mbaya hapa
Aweeee subutu hiyo hela labda niwe nmeichambia ndyo nitume๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ