Sasa vijana wadogo wanaoweza kufanya maamuzi kama yako wanaweza wasifike 100.
Ngono imechukua 75% ya maisha ya kijana, kumshauri vinginevyo ni kujichosha.
Mimi usinisome kwa huu uzi ukavutiwa na maandishi yangu, ukweli ni kuwa mimi ni muumini wa “mwanamke atunzwe” but with conditions, kwanza awe ameolewa, na kama hajaolewa basi muhusika kipato chake kiwe kinaruhusu na mtunze bila kujiumiza, na ili hili litokee lina conditions zake, kwanza kila mtu ana type ya mtu wake, kila mtu ana mtuwe anayemmudu hivyo akili kichwani mtu wangu.
Katika yote, vijana wadogo waachwe jamani, lets say kijana yuko chuo au hana kazi au yuko shule ukimuomba kitu anatakiwa akapatie wapi??? Ujue mimi hucheka sana baadhi ya mambo yanayoendelea ulimwenguni kwa sasa!