Nimempa makavu mpenzi wangu

Nimempa makavu mpenzi wangu

Hii kwa kifupi inaitwa

Bank over draft

Na hakika mwanaume ukiingia bank over draft kwa mwanamke hesabu loss tuu hakuna namna, na loss inaweza ikatokea popote

AKILI KICHWANI KWAKO MWANAUME
Halafu ndo maana wengi wetu hatutaki kabisa kupiga hesabu mwisho WA mwaka tulizohongaa maana weza liaa 😂
 
Huyo mwanamke anakupenda na ana huruma na wewe, hapo ilitakiwa umpe nauli na pesa ya kula njiani.
Si unajua mwenzio kafiwa??
Emu mtumie pesa ya rambirambi kwanza
Wewe Lamont utakuwa katibu mwenezi WA chama chenu eti au basi 😂
 
Unampa ATTENTION sana.

Jua hawanaga shukrani Wala akili.

This time sio muda wa kubembelezana.

Zingatia maokoto, TUNZA KIBUNDA CHAKO.
 
Uko sahihi, kama unamiaka chini ya 28 na unafanya kazi ngumu na kipato si toshelevu, jikite katika kujijenga wewe kwanza kwaajili ya future yako.

Watoto wa kike nao wakajifunze kufanya kazi, hata kama hajasoma, anaweza kufanya Kazi saluni, mama lishe, dukani etc. Kumtegemea mwanaume ambaye ni mdogo na hajakuoa ni uonevu.

Ila mdogo wangu sikufichi, itahitaji mwanamke muelewa sana ili akupe papuchi yake kama we humjali kwa mambo yake, uchaguzi ni wako, kutafuta mwanamke muelewa, au kujiunga na Chaputa.
Azingatie maokoto.

Why CHAPUTA wakati zimejaa kibao mtaani.
 
Kama unajijenga bado hujafikie Ile level Fulani uko comfortable.

Nashauri achana na mapenzi yatakuchelewesha tu na kukuharibia mipango Yako.
 
Ujue broo Mimi nayafanya yote haya kumfanya atulie na Mimi na ni tulie nifanye maisha maana swala la mke nakuwa nshamaliza Sasa katika kutafa mke ndio mwanzo wa yote hayo kutokea ... mwingine anaweza niambia wasichana wako wengi ASA sikatai ndio nakatafute msichana mbaya ambae sijampenda!?Yani akili inakataa kabisa
Achana na Wanawake kwa Sasa kijana. Utapotea njia tu.

Wanawake wamepotezea miamba kibao ya Dunia hii.

Fanya yanayokubidi kwa Sasa yaani maisha Yako yajenge yaelekeweke.

Huwezi shika vitu vyote viwli kwa pamoja na ukafanikiwa at the same. Ni wachache sana huwezi hivyo.

Lazima u-sacrifice kimoja upate kingine.

Mapenzi yakuwa yanakupa stress Kila siku uje upoteze ramani.

Zingatia maokoto, TUNZA KIBUNDA CHAKO.
 
Mkuu Mimi kumhudumia demu wangu sikatai...Ila kwanini iwe ni Kila siku?na siku nyingine si aseme hata 5000 au 3000 ye Kila siku ni 20k,15k
Utakuta hapo miamala kwa demu inasima ten ten, 30,60,80

Wewe kitu Cha mwaka juzi soli imeisha.

Unakula ugali dagaa au wali maharage daily. Chai andazi.

Kama kipato hakiwezi kufanya tu uishi vizuri achana na mapenzi kijana fanya maisha Yako yawe Bora.

Usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu. Halafu wewe sio babake.

Vijana WA Sasa wanasikitisha sana. Wanyanyasika sana kihisia.

Kazi ya demu ni kukupa Raha, maliwazo, motisha kama analeta stress achana songa mbele hujazaliwa nae.

Usikute hata mamako hujawahi mpa hata buku 20 halafu demu ulikutana nae ukubwani anafilisi tu jasho lako kisa mbunye hasa simile Hana akili.
 
Bwana mdogooo. Mbususu ya binti mvaa yebo za manyoya inaelekea ni tamu sana. Hadi uje uamke ni saa7 mchana. Kila la heri
 
😅Afu nimegundua mtu yoyote akileta story ya mapenzi mnamuattack na maswali ya umri wake...hii sio njia nzuri kutoa hoja coz no matter how atajibu utamcrush..Akiwa mkubwa utasema kubwa jinga Akiwa mdogo utasema mtoto...so be careful tu
Samahn sijatoa hoja ila nimeuliza swali tu Ili nijue shida Iko wapi kwake au kwa demu.
Yawezekana upo sahihi kabisa 💯 kwa umri wake labda kufanya vitu kama hivyo inakua haviendani.
 
Ila nyie wenye sim vya batani,niwape heshima yenu asilimia kubwa mnahonga mpaka ile hela ya mwisho kabisa Yani unabaki pumbu pumbu 😆
 
Uko sahihi, kama unamiaka chini ya 28 na unafanya kazi ngumu na kipato si toshelevu, jikite katika kujijenga wewe kwanza kwaajili ya future yako.

Watoto wa kike nao wakajifunze kufanya kazi, hata kama hajasoma, anaweza kufanya Kazi saluni, mama lishe, dukani etc. Kumtegemea mwanaume ambaye ni mdogo na hajakuoa ni uonevu.

Ila mdogo wangu sikufichi, itahitaji mwanamke muelewa sana ili akupe papuchi yake kama we humjali kwa mambo yake, uchaguzi ni wako, kutafuta mwanamke muelewa, au kujiunga na Chaputa.

Atampata wapi huyo muelewa… nani atakubali ajigharamie kila kitu halafu akamgaragazee nywele ziharibike halafu asimpe ya kusuka
 
Jitafute kwanza ndio uingie huko…. Ili usiwe mlalamishi

Kutoa hela sio lazima na kuwa na mpnz sio lazima

Mapenzi ni gharama

Wewe fikiria mimi nipo kigoma halafu shemeji yako yupo Ruvuma ila anafunga safari kuja kuniona so unachokipenda lazima ugharamieee
 
Jitafute kwanza ndio uingie huko…. Ili usiwe mlalamishi

Kutoa hela sio lazima na kuwa na mpnz sio lazima

Mapenzi ni gharama

Wewe fikiria mimi nipo kigoma halafu shemeji yako yupo Ruvuma ila anafunga safari kuja kuniona so unachokipenda lazima ugharamieee
Ndio huyo anakuweka 2x kwa mwaka?
 
Wakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.

Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri Kwanza ...usitake kuniambia Ile elfu 50k ushamaliza nanimekupa tumeshinda Jana yani siku moja tu usiseme hauna hela...

Nikamwambia sikiliza nikwambie kitu hii tabia ya kipuuzi Mimi siifagiliii Wala Nini kwa maana unanitisha Kwanza naogopa hata kukupigia simu...maana nikipiga simu tu huishiwi Jambo.

Nikamwambia Mimi hela natafuta kwa jasho na unajua na piga kazi ngumu Sasa unapaswa ujue kuwa pesa sitafuti kwa ajili yangu pekee angu Mimi natafuta ili badae tuishi vizuri na pia nataka tufanye biashara ili usikose shughuli ya kufanya..Sasa Kila siku umekuwa nimuhitaji unafikili tutapiga hatua lini?

Akawa mpole Sana na kukiri Sana kuwa amekosea Sana lakini akadai kuwa Hana mtu mwingine wa kumuomba hela,Mimi ndio mpenzi wake Sasa akamuombe nani?

Akaendelea kwa kusema kuwa Ile 50k hakufanya chochote zaidi alinunua gas na chakula ndani kwa hio nywele zake zimefumuka anataka nimpe 15K akasuke...

Mimi nikamwambia sikia ninakupa hii 15k kwa Mara ya mwisho sitokuwa tayari Kila siku kukupa hela pasipo wewe kutokuwa mvumulivu ...

akaniambia anajua na anaelewa kuwa nakwazika ntajisikia vibaya Ila ndio atajirekebisha na hatakua ananiomba Kila siku.

Nikamtumia Kisha nikampotezea siku nzima...ilivofika jioni nikawaza nikasema kwanini nisimwite hata nijipoze machungu kwa Mara ya pili...

Nilivomcheki akasema yuko mjini akiwahi kutoka atapitia ghetto,nikamwambia poa...ilivofika sa tatu usiku akanitumia meseji anaona atachelewa kurudi kwa sabb Kuna ishu anafatilia mjini hivyo lakini nisijali atakuja baada ya siku tatu kwakuwa anaenda msibani..hii kweli nafahamu ni msiba umetokea mkoani Moshi...

Leo asubuhi sa 12 kanipigia na kuniomba msamaha Sana Jana simu yake ilizima Ila Leo hajaomba hela ...akaniambia nisiwaze atanimic Sana kwa hio anaenda msibani atakaa siku tatu...

Mimi kwa Sasa nimeona niwe mpole tu...niendelee na Mambo yangu Kama ni wangu atakuwa wangu tu naona natumia nguvu Sana Hadi moyo unaniuma nikilala usiku.View attachment 2792185
Yani unahonga kijana unashindwa kununua smart embu jitambue mbususa zipo za bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom